Je, ni sahihi kwa baba kumnunulia mtoto wake wa kike PEDI?

Je, ni sahihi kwa baba kumnunulia mtoto wake wa kike PEDI?

Joined
May 7, 2017
Posts
45
Reaction score
58
Jamani naombeni msaada juu ya hili swali. Baba mzazi kumnunulia binti wake pedi hii imekaa sawa kweli?


1643018041330.png

 
Imagine mimi na kiduka changu nauza pedi lakin mtot wa kike anaona aibu kuja kunua ish kama iyo kwangu sasa swala la baba mzaz kumnulia pedi ni uvunjifu wa maadili kwa kwel
 
Sioni shida hapo mradi tu inategemea na mazingira mnayoishi,kama yuko nyumbani utampa hela atanunua mwenyewe,lakini kama yuko shuleni boarding na mama hayupo wewe ndio mwenye jukumu la kugaramia masomo yake sioni shida kumnunulia...
 
Back
Top Bottom