Je, ni sahihi kwa baba kumnunulia mtoto wake wa kike PEDI?

Je, ni sahihi kwa baba kumnunulia mtoto wake wa kike PEDI?

Shida iko wapi????

Mnataka anunuliwe na nani???

Acheni kuongeza ugumu wa maisha!!!!

Mimi sikutegemea hili linaweza kuwa mjadala kabisa hapa yani baba kumnunulia mwanae PEDI nali linamjadala kabisa? Aiseee

Mimi nilikuwaga naagizwa pedi kabisa na dada zangu dukani!
 
Imagine mimi na kiduka changu nauza pedi lakin mtot wa kike anaona aibu kuja kunua ish kama iyo kwangu sasa swala la baba mzaz kumnulia pedi ni uvunjifu wa maadili kwa kwel

Kweli nyie watu mnafanya maisha yanakuwa magumu sana yani kwa zama hizi baba kumnunulia mwanae Pedi nayo ni issue sana?
 
Huyo mtoto wa kike anaanzaje kumwambia baba yake akiwa period?

Siyo sahihi...
 
Haya mambo ya kumnunulia yanakujaje sasa?
Mnaishi wawili tu nyumbani na je hakuna mfanyakazi?
Hili swali halijamaliziwa lote
Kama mtu anaona sawa kwa mwanae wa kike je anaweza kumuuliza pia baada ya siku kadhaa kuwa damu zimekata?
Majukumu tunayo mengi msituongezee yasiyo ya lazima kwani wanawake wenzie hawapo
Unamuuliza damu zimekata ili umfanye nini?
 
Ni sahihi ila inategemea na jins unavyo ipresent baada ya kununua.
 
Yani baba anajua sasa mwanangu anableed???? Uhuru umezidi tatizo
 
Inaonekana ni kitu kigumu kwa sababu ww kama baba unafikria ni jins gan utaenda kununua alaf uje umpatie na mtoto nae ataona aibu ni jins gan ataanza kukuomba ukamnunulie.

Hapo Fanya hiv siku moja mchukue ukamfanyie shopping ya matumizi yake kuanzia sabuni ya kuogea, mafuta(nywele na kupak)/lotion, nk humo humo mnunulie na pad za jumla.
 
Unamuuliza damu zimekata ili umfanye nini?

Hayo ni majibu ya hao wanaosema eti ni sawa kumnunulia mwanao
Hovyo kabisa

Hapo nimeuliza swali au hujaona
Soma uelewe
Nakemea ujinga wewe unanilisha maneno
 
Huu uzi nimegundua akina mama 'makopo'...

Ehh!!

Kila mmoja ashinde mechi zake aisee.
 
Unashangaa Pedi, rafiki yangu mmoja hivi ni wa kike mzee wake anamnunuliaga hadi chupi na zinamtosha. Ni jinsi utakavyolichukulia ila sioni kama kuna tatizo!!
 
Mwanao wa kike akikuomba pesa mpe sio mpaka aseme anataka kununua nini pia unaweza kuwa na utaratibu kila mwisho wa mwezi au wa wiki unampatia kuasi fulani cha pesa kwaajili ya matumizi yake binafsi.
 
Baba kuhusika na jambo lolote linalohusu uchi wa Binti yako halijakaa sawa..

Hizo taulo mara nyingi huwa zinaambatana na maelekezo ya namna ya kuzitumia,,, Je utakaaje na kuanza kumuelewa mwanao hayo mambo?

Hizo ni kazi za Mama,, mashangazi na ndugu yoyote wa kike,,,,kama Mama hayupo ni better umpe hata Rafiki yako wa kike hilo jukumu atakusaidia...

Usijaribu kumfuga kizungu kuku wa kienyeji
 
Unashangaa Pedi, rafiki yangu mmoja hivi ni wa kike mzee wake anamnunuliaga hadi chupi na zinamtosha. Ni jinsi utakavyolichukulia ila sioni kama kuna tatizo!!

Mkuu kulikuwa na ulazima gani wa kusisitiza kuwa huwa zinamtosha..??? sentensi inakuwa imekaa kimashaka sana..
 
Back
Top Bottom