Je, ni sahihi kwa baba kumnunulia mtoto wake wa kike PEDI?

Imagine mimi na kiduka changu nauza pedi lakin mtot wa kike anaona aibu kuja kunua ish kama iyo kwangu sasa swala la baba mzaz kumnulia pedi ni uvunjifu wa maadili kwa kwel
 
Sioni shida hapo mradi tu inategemea na mazingira mnayoishi,kama yuko nyumbani utampa hela atanunua mwenyewe,lakini kama yuko shuleni boarding na mama hayupo wewe ndio mwenye jukumu la kugaramia masomo yake sioni shida kumnunulia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…