Wengine hela inatolewa na ustawi wa jamii.Kwa hiyo baba ampe mama wa jirani hela akamnunulie pedi mwanae
Ohoooo.Mkuu ni vzur ukanunua box zima na kumkabdh shemj utakuw umemalza tatzo
Ni sawa baba mzazi kumnunulia binti yake chupi?Jamani naombeni msaada juu ya hili swali. Baba mzazi kumnunulia binti wake pedi hii imekaa sawa kweli?
Umemjibu vyemaLimekaa sawa kwani tatizo ni nini? Otherwise kama una ishu zako zingine nyuma ya pazia
Yeah babe shemumemjibu vyema
Leo upo seat ya mbele kama kawaida yako mkuuLimekaa sawa kwani tatizo ni nini? Otherwise kama una ishu zako zingine nyuma ya pazia
Acha hasira mtoto mzuriSasa mlitaka akanunuliwe na dereva wa boda ama masela wa mtaani?
ππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈAcha hasira mtoto mzuri
Nimekumic ujue[emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090]
Au sio?Nimekumic ujue
Acha tu na ukorofi wako unanifanya nikumicAu sio?
NaamLeo upo seat ya mbele kama kawaida yako mkuu
alishaipoteza hii nafasi kitambo tu, labda aje upya mwaka huuLeo upo seat ya mbele kama kawaida yako mkuu