Shida iko wapi????
Mnataka anunuliwe na nani???
Acheni kuongeza ugumu wa maisha!!!!
Imagine mimi na kiduka changu nauza pedi lakin mtot wa kike anaona aibu kuja kunua ish kama iyo kwangu sasa swala la baba mzaz kumnulia pedi ni uvunjifu wa maadili kwa kwel
Unamuuliza damu zimekata ili umfanye nini?Haya mambo ya kumnunulia yanakujaje sasa?
Mnaishi wawili tu nyumbani na je hakuna mfanyakazi?
Hili swali halijamaliziwa lote
Kama mtu anaona sawa kwa mwanae wa kike je anaweza kumuuliza pia baada ya siku kadhaa kuwa damu zimekata?
Majukumu tunayo mengi msituongezee yasiyo ya lazima kwani wanawake wenzie hawapo
Shida iko wapi? Kama ipo, basi iko zaidi kwenye fikira kuliko kwenye uhalisi.Jamani naombeni msaada juu ya hili swali. Baba mzazi kumnunulia binti wake pedi hii imekaa sawa kweli?
Unamuuliza damu zimekata ili umfanye nini?
Inategemeana na mazingira kitown town kawaida ila bush mgogoroJamani naombeni msaada juu ya hili swali. Baba mzazi kumnunulia binti wake pedi hii imekaa sawa kweli?
Unashangaa Pedi, rafiki yangu mmoja hivi ni wa kike mzee wake anamnunuliaga hadi chupi na zinamtosha. Ni jinsi utakavyolichukulia ila sioni kama kuna tatizo!!