Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Multichoice Tanzania haina hela kuishinda IPP unabisha?Unalinganisha DSTV na ITV nini? Sidhani kama unaifahamu kampuni ya DSTV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Multichoice Tanzania haina hela kuishinda IPP unabisha?Unalinganisha DSTV na ITV nini? Sidhani kama unaifahamu kampuni ya DSTV
Ndio mtajua hamjui..Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake?
Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free channel zote zinabaki na unaangalia kama kawaida, sasa iweje Dstv inakata free channels?
Mheshimiwa Nape Nnauye kuli wewe tupo pamoja hapa JF kitambo tu tunakuomba ulipokee hili na ulifanyie kazi haraka, tusilazimishane hela za kula kununua vifurushi.
Kifurushi kikikata kama bajeti hairuhusu then uwe na access ya local free channel basi ili uchague taarifa ya habari uangalie wapi.
Sijawataja Wasafi hapo kwa sababu najua Wasafi ni channel ya kulipia, siyo free channel.
Ndio imenishangaza hata mimi, last time ni kweli local nilizipata baada ya air time kuisha, lakini this time naona wameacha Tbc peke yake.Kwani washazipiga chini, last time i checked zilikuwa free hata kifurushi kikikata...
Unafikiri mipira inarushwa tuu kama unavyorusha tako huku na huko.Mie namshauri Nape awape kibali DSTV nao warushe mpira ligi ya bongo
Mie namshauri Nape awape kibali DSTV nao warushe mpira ligi ya bongo
JiziMbwembwe nyingi zilitumika kuaminisha watu kuwa hizi ni FTA Channels..... Halafu Waziri mwenyewe ndo alitumika kututapeli.
Labda king'amuzi cha zamani hicho, lakini mimi kwangu local zote napata kasoro Wasafi ni ya kulipia.Startimes mbona kwangu pia zinakata kifulushi kikihisha
Kwani huyo Nape chini ya mama si alizifungulia hizo channel zilizokuwa zimetolewa fta na kuwa paid channels, imeakuwaje tena zinakuwa za kulipia? Au mama kaenda "ku-act movie" huku nyuma mnajifanyia mnavyotaka..Aliyeziondowa alikuwa Dr Mwakyembe, wewe wahi zamu ya kulinda kaburi Chato.
Yule Dr mpuuzi Mwakyembe alikata hadi redio station kusoma magazeti kurasa za ndani waishie front page tu.
Awamu ya tano ilikuwa ni serikali ya mashetani yalioongozwa na Lucifer mkuu Pombe waliotamani Tanzania tuishi kama North Korea.
Tunamshukuru mama sasa anaifunguwa nchi, hata hili naamini litafanyiwa kazi.
ChadishiLabda king'amuzi cha zamani hicho, lakini mimi kwangu local zote napata kasoro Wasafi ni ya kulipia.
We ni Ku... nd... U.Wewe matakoo, local channels Dstv wamezirudisha, kama hujui kitu tuliza wowowo lako chini au katafute basha mmu.
akili hauna hata kidogo aiseee fikiri kabla ya kutenda.Mie namshauri Nape awape kibali DSTV nao warushe mpira ligi ya bongo