Je, ni sahihi kwa DSTV kuziweka ITV, EATV, Clouds TV na Channel Ten kwenye chaneli za kulipia?

Je, ni sahihi kwa DSTV kuziweka ITV, EATV, Clouds TV na Channel Ten kwenye chaneli za kulipia?

Yaani kwa uelewa wako Nape ndo anatoa kibali cha kurusha matangazo ya mpira Bongo?
Sauti ya Waziri ni rahisi zaidi kusikilizwa kwenye mamlaka husika kuliko sauti ya mwananchi wa kawaida ndo maana mara nyingi watu either kwa kutumia majukwaa mbalimbali au katika nafasi za kawaida wanawashauri wananchi.
 
Unachekesha wewe. DSTV ipo Africa nzima huwezi linganisha na IPP ambayo hata Namtumbo tu hapo haipo
Wewe jitambue acha ubishani wakijinga kampuni ya Multichoice inayomiliki hiyo DSTV yako ipo mataifa mengi tu.

Huwezi kuiunganisha Multichoice Uganda na Multichoice Tanzania kila mmoja ana mapato yake na uendeshaji wake.
IPP ni dude kubwa sana otherwise uwe hufahamu ni muunganiko wa kampuni ngapi na ni kubwa kiasi gani
 
Unafikiri mipira inarushwa tuu kama unavyorusha tako huku na huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waache mazoea yakupenda vya rahisi kama huna pesa yakulipia mtu atulie mpaka apate.
 
Aliyeziondowa alikuwa Dr Mwakyembe, wewe wahi zamu ya kulinda kaburi Chato.

Yule Dr mpuuzi Mwakyembe alikata hadi redio station kusoma magazeti kurasa za ndani waishie front page tu.

Awamu ya tano ilikuwa ni serikali ya mashetani yalioongozwa na Lucifer mkuu Pombe waliotamani Tanzania tuishi kama North Korea.

Tunamshukuru mama sasa anaifunguwa nchi, hata hili naamini litafanyiwa kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni fool!

Sasa huyo mamako si umwambie akurudishie hizo chanel?

Kama mwakyembe akiziondoa nini kinafanya zipotee sasa hivi kama hujalipia?
 
Mbona wateja halisi wa Dstv hawalalamiki kukatwa kwa hizo channel? kila mtu achague kama line za simu vile.
 
Wewe matakoo, local channels Dstv wamezirudisha, kama hujui kitu tuliza wowowo lako chini au katafute basha mmu.
Unapanic nini sasa manka?

Wamezirudisha kwani zilienda wapi na kwanini?
 
Furaha ya waziri ilikuwa ni kuona mnapata hizo channel mengine tufafanulieni.
 
Dstv wanashida gani mbona local channel wanazitoa si wamepewaa tamko wazirudishe.

Soon ntapiga chini hichi kingamuzi chao naona wanajeuri hawa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dstv wanashida gani mbona local channel wanazitoa si wamepewaa tamko wazirudishe.

Soon ntapiga chini hichi kingamuzi chao naona wanajeuri hawa.

#MaendeleoHayanaChama
DStv ni ya matajiri tu.
 
Back
Top Bottom