Je, ni sahihi kwa DSTV kuziweka ITV, EATV, Clouds TV na Channel Ten kwenye chaneli za kulipia?

DSTV king'amuzi bora kabisa,huwezi linganisha na king'amuzi chochote,kama hujawahi tumia huwezi jua ubora wake...mkuu lipia hata 9900,upate na hizo local channel.
 
Kwani washazipiga chini, last time i checked zilikuwa free hata kifurushi kikikata...
 
Ndio mtajua hamjui..
 
Kwani washazipiga chini, last time i checked zilikuwa free hata kifurushi kikikata...
Ndio imenishangaza hata mimi, last time ni kweli local nilizipata baada ya air time kuisha, lakini this time naona wameacha Tbc peke yake.
 
Startimes mbona kwangu pia zinakata kifulushi kikihisha
 
Kwani huyo Nape chini ya mama si alizifungulia hizo channel zilizokuwa zimetolewa fta na kuwa paid channels, imeakuwaje tena zinakuwa za kulipia? Au mama kaenda "ku-act movie" huku nyuma mnajifanyia mnavyotaka..
 
Ngoja niweke ile 8ft dish vizuri ili nisiteseke. Siku nikiwa sina hela na tune kwenye 8ft fta niendelee na maisha.

Hata hivyo nalipa kwa sababu ya cartoon kwa watoto. Otherwise huo mda hata sina, sijui lini nineangalia itv habari.
 
Magu alikua sahihi kuwabana hao jamaa
 
Halafu hawa MATAPELI ndo walitaka wapewe Haki za Kuonyesha Ligi Kuu Bara, wangetukomesha kwenye Vifurushi na Ligi yenyewe ingedorora maana wanachagua mechi za kuonyesha, akina Geita Gold na Mbeya Kwanza tungekuwa tunasikia majina ya akina Mpole redioni..... Premier League ya Kenya tu iliwashinda kui-promote iwe na mvuto kama AzamTV anavyohangaika huku.
 
Wewe matakoo, local channels Dstv wamezirudisha, kama hujui kitu tuliza wowowo lako chini au katafute basha mmu.
We ni Ku... nd... U.
Nimeongelea sababu ya kuondolewa local channels kipindi kile, now nafahamu kama zimerudishwa.

Soma uelewe ndio uanze kuhara.
 
Ni sahihi..ni biashara huria acha kulialia sukuma gang wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…