suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
HahahahahaMimi naona hii Kwa wamama na binti zao haina shida Sana na wala mtoto hashangai maumbile ya mama yake. Ila Sisi wa Baba na watoto wa jinsia yetu kuna kuwa na shida kidogo kulingana na maumbile yetu.
Mtoto wangu wa two years nilikuwa Ninaoga naye Ila alikuwa ananiangalia Sana dushe langu kama anaringanisha hivi.
Since by then sikuoga naye tena . Lakini mama yake alikuwa anaoga na dada zake mpaka wanafika miaka minne wala hawashangai chochote. Vidume huwa vinaudadisi Sana na hapo ndio wanapoanza kujenga dhana ya vibami wakati bado wadogo [emoji2]