suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
HahahahahaMimi naona hii Kwa wamama na binti zao haina shida Sana na wala mtoto hashangai maumbile ya mama yake. Ila Sisi wa Baba na watoto wa jinsia yetu kuna kuwa na shida kidogo kulingana na maumbile yetu.
Mtoto wangu wa two years nilikuwa Ninaoga naye Ila alikuwa ananiangalia Sana dushe langu kama anaringanisha hivi.
Since by then sikuoga naye tena . Lakini mama yake alikuwa anaoga na dada zake mpaka wanafika miaka minne wala hawashangai chochote. Vidume huwa vinaudadisi Sana na hapo ndio wanapoanza kujenga dhana ya vibami wakati bado wadogo [emoji2]
Hapana, inatakiwa iwe chini ya miaka miwili, kuanzia mitatu hata mkipiga shoo unamuona kabisa anamaindi, anaona kama mnagombana,Kwa mazingira yeyote, je ni sahihi kwa "mtoto mdogo" kuona tupu za wazazi wake?
Unaweza kuwa uko chumbani unavaa alafu mwanao mdogo akaingia chumbani, au unaweza kukaa bila nguo mbele ya mtoto wako mdogo?
Najua kila mtu ana ufafanuzi wake kuhusu mtoto, niseme chini ya miaka 5.
Sasa kusema mwanae ndio nini, wa kiume au wa kike?Kuna mmama alikuwa analala na mwanae wa miaka 16... alafu litoto linaogaa chumbani kwa mama yake...!!
Ha haaaaa haaa. Friji haligandishi [emoji23]Wee hiyo ni hatari KWA watoto kuna watoto hawajuagi kunyamaza kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naona hii Kwa wamama na binti zao haina shida Sana na wala mtoto hashangai maumbile ya mama yake. Ila Sisi wa Baba na watoto wa jinsia yetu kuna kuwa na shida kidogo kulingana na maumbile yetu.
Mtoto wangu wa two years nilikuwa Ninaoga naye Ila alikuwa ananiangalia Sana dushe langu kama anaringanisha hivi.
Since by then sikuoga naye tena . Lakini mama yake alikuwa anaoga na dada zake mpaka wanafika miaka minne wala hawashangai chochote. Vidume huwa vinaudadisi Sana na hapo ndio wanapoanza kujenga dhana ya vibami wakati bado wadogo [emoji2]
Ulijuaje kuwa walikuwa hawamshangai mama yao au ulikuwaga unawachungulia unapiga chaboMimi naona hii Kwa wamama na binti zao haina shida Sana na wala mtoto hashangai maumbile ya mama yake. Ila Sisi wa Baba na watoto wa jinsia yetu kuna kuwa na shida kidogo kulingana na maumbile yetu.
Mtoto wangu wa two years nilikuwa Ninaoga naye Ila alikuwa ananiangalia Sana dushe langu kama anaringanisha hivi.
Since by then sikuoga naye tena . Lakini mama yake alikuwa anaoga na dada zake mpaka wanafika miaka minne wala hawashangai chochote. Vidume huwa vinaudadisi Sana na hapo ndio wanapoanza kujenga dhana ya vibami wakati bado wadogo [emoji2]
Sio jambo jema.. Maana katika umri wake bongo yake hunyonya kila kitu na huwezi jua atatafsiri nini na atakuja kuropoka nini mbele ya kadamnasi hasa wageniKwa mazingira yeyote, je ni sahihi kwa "mtoto mdogo" kuona tupu za wazazi wake?
Unaweza kuwa uko chumbani unavaa alafu mwanao mdogo akaingia chumbani, au unaweza kukaa bila nguo mbele ya mtoto wako mdogo?
Najua kila mtu ana ufafanuzi wake kuhusu mtoto, niseme chini ya miaka 5.
Tuanze na wewe mwenyewe udogoni mwako uliingia master bedroom ya wazazi wako?ukaonaKwa mazingira yeyote, je ni sahihi kwa "mtoto mdogo" kuona tupu za wazazi wake?
Unaweza kuwa uko chumbani unavaa alafu mwanao mdogo akaingia chumbani, au unaweza kukaa bila nguo mbele ya mtoto wako mdogo?
Najua kila mtu ana ufafanuzi wake kuhusu mtoto, niseme chini ya miaka 5.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]Mimi naona hii Kwa wamama na binti zao haina shida Sana na wala mtoto hashangai maumbile ya mama yake. Ila Sisi wa Baba na watoto wa jinsia yetu kuna kuwa na shida kidogo kulingana na maumbile yetu.
Mtoto wangu wa two years nilikuwa Ninaoga naye Ila alikuwa ananiangalia Sana dushe langu kama anaringanisha hivi.
Since by then sikuoga naye tena . Lakini mama yake alikuwa anaoga na dada zake mpaka wanafika miaka minne wala hawashangai chochote. Vidume huwa vinaudadisi Sana na hapo ndio wanapoanza kujenga dhana ya vibami wakati bado wadogo [emoji2]
Wa kiumeeSasa kusema mwanae ndio nini, wa kiume au wa kike?
Ushawahi kuziona nini mkuu.Kwa mazingira yeyote, je ni sahihi kwa "mtoto mdogo" kuona tupu za wazazi wake?
Unaweza kuwa uko chumbani unavaa alafu mwanao mdogo akaingia chumbani, au unaweza kukaa bila nguo mbele ya mtoto wako mdogo?
Najua kila mtu ana ufafanuzi wake kuhusu mtoto, niseme chini ya miaka 5.
Duhh!!Sioni shida as long as naye anahaki ya kujifunza
Mlikuwa mnaoga na wazazi?Kwa tuliowahi kuoga mtoni tureply wapi
Miaka 2 mingi sana aisee Binafsi hata akiwa na mwaka siwezi kusimama naked kwakeMwisho miaka 2...akianza kuongea tu hata usilale nae