Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #21
Kula hadharani sio sawa na kuonyesha sehemu za Siri mbele za watuIkiwa wewe unakula hadharani basi hakuna tatizo kwa mtoto kunyonyeshwa hadharani.
Ikitokea ukatamani ziwa lala mama anaenyonyesha basi una walakini mkubwa.
Usiri wa sehemu unakuja kutokana na matumizi/kitendo husika.Kula hadharani sio sawa na kuonyesha sehemu za Siri mbele za watu
Kwa wanawake wa Kiafrika hakuna shida na imekuwa hivyo kwa muda mrefu hata bibi zetu na mama zetu wamekuwa wakifanya hivyo bila shida sema siku hizi kuna watu wamezibeba tamaduni za Ulaya na Amerika na kuziona ndiyo bora hata malezi ya watoto wetu miaka hii limekuwa tatizo kubwa kwa kisingizio cha kulinda haki za watoto sasa watoto wengi wamaharibikiwa na wazazi hawana cha kufanya tena.Sijalalamika ila nimeuliza
Usiri wa maumbile haupo kwa matumizi maalum tu.Usiri wa sehemu unakuja kutokana na matumizi/kitendo husika.
Ikiwa mama ananyonyesha mtoto hapo ni kulisha mtoto ila ikiwa anayaanika nje pasi na sababu za msingi au kushikwa shikwa na mwanamue basi hapo ni matumizi mabaya ya maungo na yatakuwa maungo ya siri.
Hayo ni mazoea tu, lakini kiuhalisia siyo jambo nzuri na halifai.Kwa wanawake wa Kiafrika hakuna shida na imekuwa hivyo kwa muda mrefu hata bibi zetu na mama zetu wamekuwa wakifanya hivyo bila shida sema siku hizi kuna watu wamezibeba tamaduni za Ulaya na Amerika na kuziona ndiyo bora hata malezi ya watoto wetu miaka hii limekuwa tatizo kubwa kwa kisingizio cha kulinda haki za watoto sasa watoto wengi wamaharibikiwa na wazazi hawana cha kufanya tena.
Hili nalo waliangalieHili nalo liwekwe kwenye katiba yetu, tuwekewe breastfeeding areas kama wavutaji wanavowekewa smoking areas.
Labda kwenu nyie wazungu.Hayo ni mazoea tu, lakini kiuhalisia siyo jambo nzuri na halifai.
Ni haki yake na ni lazima apewe, lakini ni muhimu Mama kuhakikisha anaficha na kutoruhusu watu wengine kuona sehemu hiyo nyeti.Mtoto akililia nyonyo apewe haraka sana ni haki yake. Mtoto chakula chake ni maziwa. Kuhusu kujisitiri na blah blah zingine hazihusiani. Cha msingi mtoto anayenyonya apate maziwa kutoka kwa mama.
Na hilo ndilo jibu sahihi, wafunike na kuficha sehemu hizo.Pengine labda wawe na kitenge or something cha kumfunika mtoto anaponyonya na sio kuyaachia wazi ..
Ni chakula na kinapaswa kutolewa pasipo kuruhusu watu wengine kuona.
Kuna mtu amesema humu kwamba wengine wanafanya matangazoNi ulimbukeni tu wa hawa vidosho wetu wa mjini.
Akili yako ndyo imeishia hapo kwenye mawazo ya ngono tu, mimi hoja yangu ni kujistiri na kutunza heshima zao.Yaani wakati mtoto ananyonya wewe unapeleka mawazo yako sehemu nyingine kwa ujinga wako tu halafu useme haifai mama kumnyonyesha mwanawe hadharani! Wewe ndiyo utakuwa na tatizo.