Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

Kilicho katika fikra zangu ni kwamba wanawake wanaofanya hivyo wanavunja heshima zao wenyewe.
Bob Manson hapo sijajua heshima gani unayoiongelea hapo labda ufafanue?

Kwa mfano mama yupo kwenye mwendokasi au basi ana mtoto akilia anatakiwa afanyeje?

Labda una point toa ushauri

Kilicho katika fikra zangu ni kwamba wanawake wanaofanya hivyo wanavunja heshima zao wenyewe.
 
Ni kukosa hekima, mtoto anaweza akanyonya na kumaliza mama bado kayaacha nje, yeye yuko busy na simu.
Wanakosa hekima ingali wao ni wazazi, na wao ni mifano ya kuigwa katika jamii, wakifanya hivyo mabinti zao watakuwa wanajifunza nini?
 
  • Thanks
Reactions: I M
Sio sawa kabisa, wanawake wanalifanya hili kama jambo la mazoea kwa kisingizio cha kua ananyonyesha mtoto tafuteni kanga wakati wa kunyonyesha mfiche sehemu zenu (hio ni sehemu ya siri)
 
Uchungu wa mwana haihusiani na hii mada, Mama anatakiwa ajisitiri na kutunza heshima yake mbele za watu.
Kujistiri ni nini?, Kwa mujibu wa nani?.
Kwa wengine mwananke akiacha sura wazi huyo yuko uchi!
 
Sio sawa kabisa, wanawake wanalifanya hili kama jambo la mazoea kwa kisingizio cha kua ananyonyesha mtoto tafuteni kanga wakati wa kunyonyesha mfiche sehemu zenu (hio ni sehemu ya siri)
Sahihi Mkuu, wengi wakisha zaa watoto wanaiona hiyo sehemu kama sio ya siri tena.
 
View attachment 3077317

Katika mwili wa mwananke kifua ni sehemu nyeti na haipaswi kuonwa na watu wengine zaidi ya mwenye mamlaka tu, yaani Mume.

Lakini tunaona baadhi ya wanawake wakinyonyesha watoto wao hadharani bila kuficha au kusitiri vifua vyao, mfano katika vyombo vya usafiri au sehemu zenye mikusanyiko ya watu.

Ni haki ya mtoto kupatiwa maziwa pale atakapo hitaji, lakini sidhani kama sababu hii ndyo inahalalisha mwanamke kutoa ziwa mahali popote.

Kwa walio na dini au wasio na dini wote wanafahamu kifua cha mwanamke ni sehemu nyeti na haipaswi kuonekana hovyo.

Je, ni sahihi kunyonyesha mahali popote kwa kisingizio cha kumpa mtoto haki yake?

Umalaya tu unakusumbua mbwa mbakaji wewe
 
Je wewe huwa unakula hadharani?
Kama jibu ni ndio basi jiweke kwenye nafasi ya mtoto anatakiwa kunyonya sababu ya njaa na yeye na mamaake wapo kwenye basi safari ya Mpanda kwenda Mwanza
 
Back
Top Bottom