Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

Mara nyingi ni vyema kujifunika na mtandio,japo watoto wengine wanakataa kufunikwa hasa kwenye joto.
Hamna mtu atatamani ziwa linalonyonyesha
Sijasema watu wanatamani hayo maziwa, ila ni muhimu kufunika ili kuficha maumbile yao
 
Wenye watoto wanajua kuwa mtoto anaweza kuhitaji kunyonya wakati wowote na mahali popote
kinachotakiwa hapo nikiwa tu na nguo ya kumfunika
Kufunika ndyo jambo la msingi
 
Kwani matiti ni uchi ?! Mbona wewe unatongoza hadharani, je ni sawa ?!
 
Mtoto ana njaa amnyoyeshe wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…