contask
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 780
- 1,579
power of subconcious mind.Ukimtazama mwanamke katika jicho la chombo cha starehe hakuna atachovaa, hakuna atachofanya hautatamani. Badili mindset kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
power of subconcious mind.Ukimtazama mwanamke katika jicho la chombo cha starehe hakuna atachovaa, hakuna atachofanya hautatamani. Badili mindset kwanza.
Hakuna jambo hilo.Kwani ukifumba macho na kutafakari,anakua hana matiti au vidole?Kila kiungo ni tafsiri yako tu.Watoto wanyonyeshwe muda wote watakapo.Afutaroo,there is no fixed time and specific place for breastfeeding!View attachment 3077317
Katika mwili wa mwananke kifua ni sehemu nyeti na haipaswi kuonwa na watu wengine zaidi ya mwenye mamlaka tu, yaani Mume.
Lakini tunaona baadhi ya wanawake wakinyonyesha watoto wao hadharani bila kuficha au kusitiri vifua vyao, mfano katika vyombo vya usafiri au sehemu zenye mikusanyiko ya watu.
Ni haki ya mtoto kupatiwa maziwa pale atakapo hitaji, lakini sidhani kama sababu hii ndyo inahalalisha mwanamke kutoa ziwa mahali popote.
Kwa walio na dini au wasio na dini wote wanafahamu kifua cha mwanamke ni sehemu nyeti na haipaswi kuonekana hovyo.
Je, ni sahihi kunyonyesha mahali popote kwa kisingizio cha kumpa mtoto haki yake?
Dogo akimaliza kunyonya tu,na mimi naanza.Ujamaa na kujitegemea.
Sasa matiti kuonekana ni uchi.Ustaadh acha vibweka.😂😂😂Haki ya mtoto haihalalishi mama yake kukaa uchi mbele za watu
Mimi sina matamanio ya Hovyo, najiheshimu na nawaheshimu wanawake woteFicha upumbavu wako mkuu. Zuia matamanio yako
Mtoto ni lazima apewe Chakula chake, ila ni busara kama Mama atafunika na kuficha kifua chake pasipo kuruhusu watu wengine kuonaKwaio mtoto aendelee kulia njaa Na kuumwa njaa Kisa unaogopa watu😅😅😅😅mama atabaki kuwa mama being a mother unasacrifice a lot ....mwenye kosa Ni mtazamaji ukiona Ivo usiangalie kwepesha macho
Kwanza mimi sio Ustadh, pili natambua matiti kama sehemu ya Siri, tatu nahimiza wanawake wafunike na kuficha sehemu hizo pale wanapo wapatiwe watoto chakula hadharaniSasa matiti kuonekana ni uchi.Ustaadh acha vibweka.😂😂😂
Sio watu weupe tu, hata sisi pia tuna heshimu sehemu hizo na sio vizuri kuionyesha hadharaniHeshima na nidhamu kwa tafsiri ya watu weupe.
😂Wewe ulinyonyeshwa hadharani afu Leo unajidai mjuaji? Utatamani hadi mbuzi.
Vyema sana Mkuu, wale ambao hawaelewi hili ni dhahiri hawana heshima na nidhamu, hawajui umuhimu wa kujistiri na kutunza heshima ya maumbile.Sio sahihi na wanao fanya hivyo hawana hekima wala busara, mwanamke anaye jua thamani ya kifua chake hawezi ruhusu kionekane kwa sababu ya kumpa mtoto.
Matiti hayatakiwi kuchukuliwa viungo vya faragha. Hata wanaume wana matiti japo huwa ni madogo. Lakini hata wanawake wengine wanamatiti madogo.View attachment 3077317
Katika mwili wa mwananke kifua ni sehemu nyeti na haipaswi kuonwa na watu wengine zaidi ya mwenye mamlaka tu, yaani Mume.
Lakini tunaona baadhi ya wanawake wakinyonyesha watoto wao hadharani bila kuficha au kusitiri vifua vyao, mfano katika vyombo vya usafiri au sehemu zenye mikusanyiko ya watu.
Ni haki ya mtoto kupatiwa maziwa pale atakapo hitaji, lakini sidhani kama sababu hii ndyo inahalalisha mwanamke kutoa ziwa mahali popote.
Kwa walio na dini au wasio na dini wote wanafahamu kifua cha mwanamke ni sehemu nyeti na haipaswi kuonekana hovyo.
Je, ni sahihi kunyonyesha mahali popote kwa kisingizio cha kumpa mtoto haki yake?
Kwahiyo akiamua kuacha wazi ni sawa?ila suala ni ustaarabu tu wa mama mwenyewe je atafunika maziwa yake wakati ananyonyesha au ataacha wazi.
Wewe unaweza kukaa mbele ya wazazi wako kifua wazi?Matiti hayatakiwi kuchukuliwa viungo vya faragha. Hata wanaume wana matiti japo huwa ni madogo. Lakini hata wanawake wengine wanamatiti madogo.
KInachotakiwa kufichwa ni UKE na UUME
Ni sawa tu mkuu hakuna sheria kwamba ni kosa, ni kama vile kuna mtu anaweza kula mbele za watu na kuna mwingine hawezi na hakuna mwenye kosa kati yao kila mmoja ni ustaarabu wake tu aliojiwekeaKwahiyo akiamua kuacha wazi ni sawa?
Wewe unaweza kuruhusu mke wako akae kifua wazi mbele ya wazazi wako au marafiki zako?Ni sawa tu mkuu hakuna sheria kwamba ni kosa, ni kama vile kuna mtu anaweza kula mbele za watu na kuna mwingine hawezi na hakuna mwenye kosa kati yao kila mmoja ni ustaarabu wake tu aliojiwekea