Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

Wamechumaje mali wakati hawaishi pamoja? Harmonize aliweka wakili mzuri? Maan wakati mwingine inapigwa dili kati ya, mawakili wote wa pande mbili jaji / hakimu wanaexplore weak point za sheria.

Harmonize akate rufaa,hadi ngazi ya mwisho kabisa i.e court of appeal. Pia abadilishe wakili.

Sheria inataka huyo mke aonyeshe alichangiaje upatikanaji wa mali sio kuchumpa tu ka.ma chura kwenye bwawa.

Alikuwa anampikia? alikuwa anatoa huduma gan? Wakati wanatengana Harmonize alikuwa na mali alizonazo sasa?
 
Sheria ya kugawana Mali pasu kwa pass Ni kandamizi Sana kwa kweli.Hapo lazima mmoja atanyonya jasho la mwenzie.
Mahakama ya upeo Kes ya talaka imekataa hiyo kitu ya pasu kwa pasu; imesema lazima mchango wa kila mtu uangaliwe kwenye upatikanaji wa, mali. Walisema ikiwa hivyo itachochea fortune seekers kuingia jwenye ndoa tegesha. Hapa Tanznia majaji huwa,wanatofautiana wako wanaoangalia mchango wa kila mmoja wa wanandoa na wako wanaoshikilia pasu kwa pasu.

Lakini vilevile ujinga wa wanaume hasa wa mijini unachangia kuwaangamiza. Mfano wakati wa kesi za talaka wanaume huwa hawadai mali za wake zao nazo zigawanywe pasu kwa pasu. Pili wakati wa ndoa mwanzoni kabisa wanakubali kuishi kwa, kunyonywa hata kama mke ana kipato sawa au kumzidi mume.

Nb: mke ukishamkosea mwanzoni kqtika sheria zako huko mbeleni haiwezekani tena kurekebisha.
 
Waafrika kibao wanafunga ndoa na Wazungu then wanazingua makusudi huku wakilenga malipo, wanawake wengi wa Kiafrika wamefaidika kwa mbinu hizo. Kulialia hakuwezi kusaidia hapo sheria ndiyo inayoamua, aliamua kuoa hivyo azikubali consequences za talaka. Inasemekana demu ndiyo alikuwa anamuwezesha dogo hata ujenzi wa nyumba ni fedha za demu.
Vipi Rayvanny ameacha kutitipuana na mama yake Sara? Hawa madogo hawasomeki kabisa mambo yao.
 
Hivi mtu kama Harmonize anatoa ngoma kali zinahit dunia nzima akose mali kabisa, yaani ziwe za mwanamke? Na mali za Diamond ni za nani, za Zari sio?
Harmo anadai ngoma zake hajawahi kula hata senti toka atoke WCB yaani anapata za shows tu, anadai zote wanakula Ziiiki na Diamond hivyo inawezekana investments zote zilikuwa ni za Sara.
 
Watu kama akina majizzo hawajaingia kwenye pre nup kweli?
Majizzo na Lulu wote 'mahepe' ngoma ya wajanja, hakuna zoba pale wanausoma mchezo unavyokwenda kila baada ya sekunde 0.0001 lakini game ya kuliana timing demu ndiyo huwa anashinda, mwanaume lazima kuna wakati utazubaishwa tu na hapo ndipo unapigwa punch kali la chembe demu anachukua ushindi.
 
Hebu acheni unafki kuweni wakweli… huyo dogo Harmonize alikuwa hana hela wala kiburi cha kuondoka wcb… pesa zote kapewa na sarah almost million 700 kama sio 1b .. leo hii mnasema si haki yeye kupewa asilimia 70… wakati kamtoa dogo mavumbini. Shida ya wanaume wa kileo mnapenda kulelewa mtakuja dhalilishwa, mwanamke anakupa pesa hadi ya kununua boxer hebu jiheshimu mwishoni ndo uwe kama harmonize unashindana na mwananume mwezako kwa pesa ya mwanamke ni ujinga huo. Kama unataka kuoa we oa tu, ila usitegemee mwanamke arakugharamia nguvu zake na pesa yake na ukabaki salama siku utayombwagaza
 
Kubali tu huwezi kujua kila kitu itakusaidia sana kwenye kujifunza. Haya mambo yanayoendelea mjini ni wazi hauyajui kabisa.
 
Sarah ndo engineer Kwa harmonize na amemsaidia Sana huyo Kima , jamaa baada ya kusettle akamuacha akakimbilia madanga ambayo yamemsafisha pesa zote na sasa anasingizia Wasafi wanamuibia hela...huyo dada yupo sahihi
 
Mahakama ndio yenye procedures mahsusi ku examine facts na kuja na jibu. Swala ni sahihi au la, Mahakama ndio Ina jibu.
 
Kwahiyo mwanaume akimgharamikia mkewe siku wakiachana amdai arudishe, si ndio? Na kama ni kugawana mali, mali za Sarah nazo ziko wapi ili na Harmonize agawiwe?
 
Huna akili, umetazama mambo kwa mtindo wa hongo, ingekuwa hivyo asingedai wala asingeshinda kesi.

Hiyo post uliyoijibu ujumla wa mantiki yake ni kwamba kuna vitu anavyo harmonize walitafuta pamoja mfano nyumba labda kampuni (kama) ipo.
 
Kwahiyo mwanaume akimgharamikia mkewe siku wakiachana amdai arudishe, si ndio? Na kama ni kugawana mali, mali za Sarah nazo ziko wapi ili na Harmonize agawiwe?
Huyo mzungu ndio alikuwa amgharamia kila kitu Harmonize nadhani wewe ulikosea kwenye uzi wako ujinga wa Harmonize ukoje? Ni pale ambapo zile anazopewa na huyo mzungu anaenda kuhonga mademu wa kibongo ndio kitu ambacho mzungu kimemkasirisha mpaka kwenda mahakamani kudai haki yake
 
Kwahiyo mwanaume akimgharamikia mkewe siku wakiachana amdai arudishe, si ndio? Na kama ni kugawana mali, mali za Sarah nazo ziko wapi ili na Harmonize agawiwe?
Nasema hivi hela ya mwanamke mwiko hujui katoa wapi. Hela yako umeitolea jasho hudumia mwenza wako ndo uanaume huo. Tumeandikiwa kula kwa jasho bro ukitaka kula kwa kiyoyozi utalambwa respect urself wanaume
 
Huna akili, umetazama mambo kwa mtindo wa hongo, ingekuwa hivyo asingedai wala asingeshinda kesi.

Hiyo post uliyoijibu ujumla wa mantiki yake ni kwamba kuna vitu anavyo harmonize walitafuta pamoja mfano nyumba labda kampuni (kama) ipo.
Umejibu kama taahira aliyekatwa kichwa; Hiyo nyumba haina hati? Kama ina hati limeandikwa jina la nani? Kama yameandikwa majina yao wote, kuna haja gani ya kwenda kudai nyumba mahakamani wakati tayari hati imeshakupa nusu ya umiliki? Kama limeandikwa jina la harmonize ni kwanini wakati wameinunua / kujenga wote, kwanini? Hali kadhalika kampuni, imeandikwa mmiliki ni nani kuke Brella?
 
Wewe ukiachana na mkeo, unaweza kwenda mahakamani kudai pesa ulizokuwa unamgharamikia wakati mpo pamoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…