Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata maubo huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtuckudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?
Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu, wanawake hawana huruma na mali za wanaume, ni kama majini hivi, khaa!! Ona lisura lake huyu Sarah, kama shetani limetumwa!
Katika hili serikali iingilie kati, haiwezekani mtu anaejitumankwa nguvu zote ahujumiwe na mgeni wazi wazi, hibi ingekuwa mwanamke wa kiTz kaenda kufungua kesi kama hii Italy angesikilizwa, tulindane dhidi ya hujuma toka nje ya nchi..; huyu Saraha mbona hakwenda kwa muuza chipsi tandale bali kamfuata harminize, alifuata nini kama sio pesa?!
Link hapo chini inamaelelezo yote
Mahakama ya upeo Kes ya talaka imekataa hiyo kitu ya pasu kwa pasu; imesema lazima mchango wa kila mtu uangaliwe kwenye upatikanaji wa, mali. Walisema ikiwa hivyo itachochea fortune seekers kuingia jwenye ndoa tegesha. Hapa Tanznia majaji huwa,wanatofautiana wako wanaoangalia mchango wa kila mmoja wa wanandoa na wako wanaoshikilia pasu kwa pasu.Sheria ya kugawana Mali pasu kwa pass Ni kandamizi Sana kwa kweli.Hapo lazima mmoja atanyonya jasho la mwenzie.
Waafrika kibao wanafunga ndoa na Wazungu then wanazingua makusudi huku wakilenga malipo, wanawake wengi wa Kiafrika wamefaidika kwa mbinu hizo. Kulialia hakuwezi kusaidia hapo sheria ndiyo inayoamua, aliamua kuoa hivyo azikubali consequences za talaka. Inasemekana demu ndiyo alikuwa anamuwezesha dogo hata ujenzi wa nyumba ni fedha za demu.Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata maubo huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtuckudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?
Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu, wanawake hawana huruma na mali za wanaume, ni kama majini hivi, khaa!! Ona lisura lake huyu Sarah, kama shetani limetumwa!
Katika hili serikali iingilie kati, haiwezekani mtu anaejitumankwa nguvu zote ahujumiwe na mgeni wazi wazi, hibi ingekuwa mwanamke wa kiTz kaenda kufungua kesi kama hii Italy angesikilizwa, tulindane dhidi ya hujuma toka nje ya nchi..; huyu Saraha mbona hakwenda kwa muuza chipsi tandale bali kamfuata harminize, alifuata nini kama sio pesa?!
Link hapo chini inamaelelezo yote
Harmo anadai ngoma zake hajawahi kula hata senti toka atoke WCB yaani anapata za shows tu, anadai zote wanakula Ziiiki na Diamond hivyo inawezekana investments zote zilikuwa ni za Sara.Hivi mtu kama Harmonize anatoa ngoma kali zinahit dunia nzima akose mali kabisa, yaani ziwe za mwanamke? Na mali za Diamond ni za nani, za Zari sio?
Tawire[emoji106]Nakumbuka kwenye uzinduzi wa album ya Country boy alidai ,Sarah na Jembe walimsaidia kulipa 600m za WCB.
Hii statement aliyo ongea tu kipindi hiko inatosha kumweka matatani.
Majizzo na Lulu wote 'mahepe' ngoma ya wajanja, hakuna zoba pale wanausoma mchezo unavyokwenda kila baada ya sekunde 0.0001 lakini game ya kuliana timing demu ndiyo huwa anashinda, mwanaume lazima kuna wakati utazubaishwa tu na hapo ndipo unapigwa punch kali la chembe demu anachukua ushindi.Watu kama akina majizzo hawajaingia kwenye pre nup kweli?
Kubali tu huwezi kujua kila kitu itakusaidia sana kwenye kujifunza. Haya mambo yanayoendelea mjini ni wazi hauyajui kabisa.Sasa unaona ulivyo mpuuzi,
1.) kama mama yake ana mahaoteli si aende akadai urithi kwa mama yake?
2.) Wakati Harmonize alikuwa akisafiri nchi mbali mbali Sarah nae si alikuwepo wakila raha? Kwahiyo kamsafirisha kwa kujistarehesha, sasa starehe afanye yeye alafu aje kudai fidia tena kwa yule uliyemtumia kama chombo cha starehe? Ni kama Harmonize akamdai pesa Kajala kwa starehe walizokula wote
3.) Kama alimpa pesa za kucheza Casino, hizo pesa si zimeshaliwa? Sasa utadai vipi wakati ulimpa mtu pesa akacheze kamari, na unajua kabisa kamari kuna kuliwa, utadai vipi pesa ambayo imeshaliwa? Akawadai wenye macasino
4.)Kama magari anayoendesha Harmonize ni ya Sarah, sasa kuna haja gani ya kwenda kuyadai mahakamani, ingekuwa ni kiasi cha kwenda kuyachukua tu maana kadi ya gari ndio inaonyesha mmliki wa gari, unless kamuuzia na document zipo, basi yeye angeenda tu kuchukua magari yake
5.) Wakati anamlioe Diamond hizo pesa, walikubaliana kwamba atamrudishia kama mkopo, alitoa kama zawadi? Huwezi ukadai zawadi uliyompa mtu tena kwa hiari yako. Yeye Sarah akatafute tu Bwana wa kwenda kumdangia, hana mali aliyoacha kwa Harmonize
6.) Sarah angekuwa ndio mume, na Harmonize ndio mke, Sarah angeweza kwenda kumdai pesa Harmonize? Kwamba ukadai pesa uliyomuhonga mkeo? Wanawake wana utaahira mwingi sana, na hii ndio inawafanya kulemaa akili, jitegemeeni wenyewe mbwa nyie
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata maubo huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtuckudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?
Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu, wanawake hawana huruma na mali za wanaume, ni kama majini hivi, khaa!! Ona lisura lake huyu Sarah, kama shetani limetumwa!
Katika hili serikali iingilie kati, haiwezekani mtu anaejitumankwa nguvu zote ahujumiwe na mgeni wazi wazi, hibi ingekuwa mwanamke wa kiTz kaenda kufungua kesi kama hii Italy angesikilizwa, tulindane dhidi ya hujuma toka nje ya nchi..; huyu Saraha mbona hakwenda kwa muuza chipsi tandale bali kamfuata harminize, alifuata nini kama sio pesa?!
Link hapo chini inamaelelezo yote
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata maubo huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtuckudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?
Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu, wanawake hawana huruma na mali za wanaume, ni kama majini hivi, khaa!! Ona lisura lake huyu Sarah, kama shetani limetumwa!
Katika hili serikali iingilie kati, haiwezekani mtu anaejitumankwa nguvu zote ahujumiwe na mgeni wazi wazi, hibi ingekuwa mwanamke wa kiTz kaenda kufungua kesi kama hii Italy angesikilizwa, tulindane dhidi ya hujuma toka nje ya nchi..; huyu Saraha mbona hakwenda kwa muuza chipsi tandale bali kamfuata harminize, alifuata nini kama sio pesa?!
Link hapo chini inamaelelezo yote
Kwahiyo mwanaume akimgharamikia mkewe siku wakiachana amdai arudishe, si ndio? Na kama ni kugawana mali, mali za Sarah nazo ziko wapi ili na Harmonize agawiwe?Hebu acheni unafki kuweni wakweli… huyo dogo Harmonize alikuwa hana hela wala kiburi cha kuondoka wcb… pesa zote kapewa na sarah almost million 700 kama sio 1b .. leo hii mnasema si haki yeye kupewa asilimia 70… wakati kamtoa dogo mavumbini. Shida ya wanaume wa kileo mnapenda kulelewa mtakuja dhalilishwa, mwanamke anakupa pesa hadi ya kununua boxer hebu jiheshimu mwishoni ndo uwe kama harmonize unashindana na mwananume mwezako kwa pesa ya mwanamke ni ujinga huo. Kama unataka kuoa we oa tu, ila usitegemee mwanamke arakugharamia nguvu zake na pesa yake na ukabaki salama siku utayombwagaza
Anaesema hivi hata hana alichosema ili kutufanya tujue hicho anachosema hatujui.., ujinga tuKubali tu huwezi kujua kila kitu itakusaidia sana kwenye kujifunza. Haya mambo yanayoendelea mjini ni wazi hauyajui kabisa.
Huna akili, umetazama mambo kwa mtindo wa hongo, ingekuwa hivyo asingedai wala asingeshinda kesi.Sasa unaona ulivyo mpuuzi,
1.) kama mama yake ana mahaoteli si aende akadai urithi kwa mama yake?
2.) Wakati Harmonize alikuwa akisafiri nchi mbali mbali Sarah nae si alikuwepo wakila raha? Kwahiyo kamsafirisha kwa kujistarehesha, sasa starehe afanye yeye alafu aje kudai fidia tena kwa yule uliyemtumia kama chombo cha starehe? Ni kama Harmonize akamdai pesa Kajala kwa starehe walizokula wote
3.) Kama alimpa pesa za kucheza Casino, hizo pesa si zimeshaliwa? Sasa utadai vipi wakati ulimpa mtu pesa akacheze kamari, na unajua kabisa kamari kuna kuliwa, utadai vipi pesa ambayo imeshaliwa? Akawadai wenye macasino
4.)Kama magari anayoendesha Harmonize ni ya Sarah, sasa kuna haja gani ya kwenda kuyadai mahakamani, ingekuwa ni kiasi cha kwenda kuyachukua tu maana kadi ya gari ndio inaonyesha mmliki wa gari, unless kamuuzia na document zipo, basi yeye angeenda tu kuchukua magari yake
5.) Wakati anamlioe Diamond hizo pesa, walikubaliana kwamba atamrudishia kama mkopo, alitoa kama zawadi? Huwezi ukadai zawadi uliyompa mtu tena kwa hiari yako. Yeye Sarah akatafute tu Bwana wa kwenda kumdangia, hana mali aliyoacha kwa Harmonize
6.) Sarah angekuwa ndio mume, na Harmonize ndio mke, Sarah angeweza kwenda kumdai pesa Harmonize? Kwamba ukadai pesa uliyomuhonga mkeo? Wanawake wana utaahira mwingi sana, na hii ndio inawafanya kulemaa akili, jitegemeeni wenyewe mbwa nyie
Huyo mzungu ndio alikuwa amgharamia kila kitu Harmonize nadhani wewe ulikosea kwenye uzi wako ujinga wa Harmonize ukoje? Ni pale ambapo zile anazopewa na huyo mzungu anaenda kuhonga mademu wa kibongo ndio kitu ambacho mzungu kimemkasirisha mpaka kwenda mahakamani kudai haki yakeKwahiyo mwanaume akimgharamikia mkewe siku wakiachana amdai arudishe, si ndio? Na kama ni kugawana mali, mali za Sarah nazo ziko wapi ili na Harmonize agawiwe?
Nasema hivi hela ya mwanamke mwiko hujui katoa wapi. Hela yako umeitolea jasho hudumia mwenza wako ndo uanaume huo. Tumeandikiwa kula kwa jasho bro ukitaka kula kwa kiyoyozi utalambwa respect urself wanaumeKwahiyo mwanaume akimgharamikia mkewe siku wakiachana amdai arudishe, si ndio? Na kama ni kugawana mali, mali za Sarah nazo ziko wapi ili na Harmonize agawiwe?
Umejibu kama taahira aliyekatwa kichwa; Hiyo nyumba haina hati? Kama ina hati limeandikwa jina la nani? Kama yameandikwa majina yao wote, kuna haja gani ya kwenda kudai nyumba mahakamani wakati tayari hati imeshakupa nusu ya umiliki? Kama limeandikwa jina la harmonize ni kwanini wakati wameinunua / kujenga wote, kwanini? Hali kadhalika kampuni, imeandikwa mmiliki ni nani kuke Brella?Huna akili, umetazama mambo kwa mtindo wa hongo, ingekuwa hivyo asingedai wala asingeshinda kesi.
Hiyo post uliyoijibu ujumla wa mantiki yake ni kwamba kuna vitu anavyo harmonize walitafuta pamoja mfano nyumba labda kampuni (kama) ipo.
Wewe ukiachana na mkeo, unaweza kwenda mahakamani kudai pesa ulizokuwa unamgharamikia wakati mpo pamoja?Huyo mzungu ndio alikuwa amgharamia kila kitu Harmonize nadhani wewe ulikosea kwenye uzi wako ujinga wa Harmonize ukoje? Ni pale ambapo zile anazopewa na huyo mzungu anaenda kuhonga mademu wa kibongo ndio kitu ambacho mzungu kimemkasirisha mpaka kwenda mahakamani kudai haki yake