Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

Nasema hivi hela ya mwanamke mwiko hujui katoa wapi. Hela yako umeitolea jasho hudumia mwenza wako ndo uanaume huo. Tumeandikiwa kula kwa jasho bro ukitaka kula kwa kiyoyozi utalambwa respect urself wanaume
Sasa nyie wanawake misiwe mnalilia usawa wa 50/ 50 basi, ukiachwa uondoke na kile kilicho cha kwako tu, kama ni gari chukua lenye jina lako kwenye kadi, kama ni nyumba chukua yenye jina lako kwenye hati, kama ni pesa chukua zilizo kwenye akaunti ya jina lako benki
 
Alichoenda kudai ni mali sio gharama alizomgharamia Harmonize mkuu mbona unakuwa ngumu kuelewa na kizuri mahakama imempa haki yake
Unadai vipi mali ambayo ni yako, hivi wewe unaweza kwenda kudai gari lako mahakamani? Kadi unayo na imeandikwa jina lako utaenda kulidai mahakamani? Si ni kiasi cha kwenda polisi na kwenda kulichukua tu ukiongozana na polisi? , na atakaezuia kuchukua gari lako si atawekwa ndani? Sasa mahakamani unaendaje kudai mali yako?
 
Sasa nyie wanawake misiwe mnalilia usawa wa 50/ 50 basi, ukiachwa uondoke na kile kilicho cha kwako tu, kama ni gari chukua lenye jina lako kwenye kadi, kama ni nyumba chukua yenye jina lako kwenye hati, kama ni pesa chukua zilizo kwenye akaunti ya jina lako benki
Hoja yako unayotaka kujenga ni nzuri na wengi tunaweza kuiyunga mkono ila ulichokosea kutolea mfano Sara na Harmonize ambacho ni mazingira tofauti kwasababu Harmonize ndio alikuwa marioo pale kwa huyo mdada mzungu kapewa magari, kanunuliwa nyumba na mambo mengi kafanyiwa na huyo mzungu so hata huyo mzungu akidai haki unaelewa. Hoja ingekuwa Bora mfano wako ungeweka kwenye ndoa ya mzee mrema na yule mchaga au Mzee Mengi na jackline
 
Unadai vipi mali ambayo ni yako, hivi wewe unaweza kwenda kudai gari lako mahakamani? Kadi unayo na imeandikwa jina lako utaenda kulidai mahakamani? Si ni kiasi cha kwenda polisi na kwenda kulichukua tu ukiongozana na polisi? , na atakaezuia kuchukua gari lako si atawekwa ndani? Sasa mahakamani unaendaje kudai mali yako?
Kumbuka ilikuwa ndoa sio mahusiano alafu sio magari tu mpaka viwanja vyake kapewa na mahakama
 
Ndoa ni hatari sana, mwenzake Diamond ni mjanja, anapiga mimba halafu ananyuti, ukija anapiga tena, kisha ananyuti, sasa nimeanza kujua Diamondi ni akili kubwa sana!
Hamna ujanja huyo nae kashapigwa parefu saana na lile kurumbembe la South hakomi.
Kumbuka ile nyumba South walienda family nzima iliishia wapi
 
Inachekesha sana kudhani huyo demu ana hela nyingi hivyo.
Sijui hata km mnayajua maisha yake Italy.
Au hata maisha ya Italy hizo pesa hakuna.labda muwe familia mafioso kweli kweli sio hela za kuuza pizza hapo Zanzibar.
Demu anacheza na fursa tu, angekua tajiri hivyo asingedai chochote
 
Hamna ujanja huyo nae kashapigwa parefu saana na lile kurumbembe la South hakomi.
Kumbuka ile nyumba South walienda family nzima iliishia wapi
Hatakaje south wakati kazi zake zipo hapa Tanzania kule ataenda kwaajili ya mapumziko na hiyo nyumba ya south kawaandikisha watoto wake kawaandikisha kama warithi na zari hakai Tena pale
 
Kumbuka ilikuwa ndoa sio mahusiano alafu sio magari tu mpaka viwanja vyake kapewa na mahakama
Sasa mtu unapewaje gari au kiwanja ambacho ni chako? Si ni kiasi cha kwenda na polisi na kuvichukua tu..., maana lazima hati na kadi zimeandikwa kwa jina lako, au unazo hati za mauziano zenye jina lako, huwezi kwenda mahakamani kudai mali yako, unachotakiwa ni kwenda kuvichukua na polisi tu..
 
Hatakaje south wakati kazi zake zipo hapa Tanzania kule ataenda kwaajili ya mapumziko na hiyo nyumba ya south kawaandikisha watoto wake kawaandikisha kama warithi na zari hakai Tena pale
Sasa si tayari hapo,ndo nnaposema aöishalambwa siku nyingi.
Force ya mwanamke kutaka iwepo nyumba kule alikua anajua anachokifanya.
Kusema ya watoto wale wana pa kukaa kuna mansion kadhaa aliacha yule mganda baba ya watoto wakubwa
 
Tiffa na nillany ni watoto wa Diamond aliyozaa na Zari achana na hao Zari aliyopata kwa yule Mganda mwenzake
 
Tiffa na nillany ni watoto wa Diamond aliyozaa na Zari achana na hao Zari aliyopata kwa yule Mganda mwenzake
Yote sawa sasa watoto si wangekaa na mama yao huko kwa ex wake,
Na ndio kilichofanyika ile villa ingine inapangishwa basi full stop.
Labda km haikuwepo
 
Sasa si tayari hapo,ndo nnaposema aöishalambwa siku nyingi.
Force ya mwanamke kutaka iwepo nyumba kule alikua anajua anachokifanya.
Kusema ya watoto wale wana pa kukaa kuna mansion kadhaa aliacha yule mganda baba ya watoto wakubwa
Watoto wanarithi kwa baba,sasa huyo Mganda na watoto wa Diamond wapi na wapi. Kama mwanaume lazima uwaandalie mazingira watoto wako,waje waishi vizuri hilo ni jukumu lako na huwezi kulikwepa.

Kumbuka Mondi hakumuoa Zari ,ila Konde kwanza demu ana mzigo kuliko Konde,pili alimuoa hapo sasa ukishaoa ,kisheria lazima mgawanyo uhusike,ila kama ingekuwa mnadate juu kwa juu kusingekuwa na kugawana mali.
 
Kwahiyo mwanaume akimgharamikia mkewe siku wakiachana amdai arudishe, si ndio? Na kama ni kugawana mali, mali za Sarah nazo ziko wapi ili na Harmonize agawiwe?
Harmo andunje naye agawiwe mali za Sara, what exactly are you smoking? Biashara za familia ya Sara ya Hotels amewahi kuweka hata senti wakati ametoka WCB na mapumbu tu kwa kulazimika kununua brand iliyotengenezwa na WCB? Alipewa jeuri kwa kulipiwa ili aweze kuwa msanii huru lakini baada ya kutoka akadhani amefanikiwa basi ampige chini demu aliyewekeza kwake na akajichanganya kwa shangingi la town dogo wa kijijini asiyejua maisha ya mjini kapukutwa kabaki apeche alolo sasa analialia kwa kuwa kakaukiwa.
 
Sasa unapataje mali ambazo hujachuma. Hata kungekua na mtoto basi hata mtoto hakuna halafu unataka half half. Jisikie tu vibaya. Kuoa nitao ila kuna assets hazitakaa ziwe kwa jina langu. Hiyo ndiyo njia ya kuzilinda hizo asset.

Asset labda utumie jina la baba yako au uandike njina la familia yenu ndo znaweza kunusulika inapokuja suala la kugawana mali

Mali za urithi azigawiwi wala kugawana kwaiyo njia sahihi ni kuweka jina la baba yako au jina la familia ya kwenu
 
Mkuu huyo dada ana hela Sana hata hizo range ambazo harmo alimuonga kajala zilikuwa za Sara hata deni la Wasafi la 600m karibia hela yote imetoka kwa sara.Harmonize hela nyingi kakamuliwa na mtoto wa mjini kajala na zimeisha ila kile kipindi yupo na Sara, Sara alikuwa anamwezesha alafu anaenda kuonga kwa kina wolper

Sio kweli baba harmonize alisaidiwa na CRDB kulipa na jembe akauza na nyumba hakuna sehemu sarah amemsaidia labda kama sehemu ndogo sikiliza interview ya hamo
Halaf kipindi wanaish walikuwa wamepanga

Mali zipi anadai?
 
Itakuwa watu humu ndani hamumjui Sarah, Sarah ndio alikuwa anampa kiburi harmonize kipesa mama yake Sarah ana mahoteli ya kitalii kama yote Zanzibar, na pia ana hotel za kifarahi italy, harmonize alikuwa akisafiri nchi mbali mbali na yy ndo alikuwa akigharamia, Harmonize alikuwa akienda kucheza makamari casino ni pesa za sarah, magari aliyokuwa anaendesha harmonize ni ya sarah, pesa alizomlipa Diamond ili atoke wcb ni sarah kalipa mostly mali alizokuwa nazo harmo ni za sarah, ndo maana alikuwa ana vimba mno sarah familia yake ni ya kitajiri mno, so na mali nyingi kachuma yy so ni haki yake kupata haki yake.

Kwanin CRDB walimlipia na jembe kama sarah alilipa kweli?nyie acheni uongo
 
Sasa unaona ulivyo mpuuzi,
1.) kama mama yake ana mahaoteli si aende akadai urithi kwa mama yake?

2.) Wakati Harmonize alikuwa akisafiri nchi mbali mbali Sarah nae si alikuwepo wakila raha? Kwahiyo kamsafirisha kwa kujistarehesha, sasa starehe afanye yeye alafu aje kudai fidia tena kwa yule uliyemtumia kama chombo cha starehe? Ni kama Harmonize akamdai pesa Kajala kwa starehe walizokula wote

3.) Kama alimpa pesa za kucheza Casino, hizo pesa si zimeshaliwa? Sasa utadai vipi wakati ulimpa mtu pesa akacheze kamari, na unajua kabisa kamari kuna kuliwa, utadai vipi pesa ambayo imeshaliwa? Akawadai wenye macasino

4.)Kama magari anayoendesha Harmonize ni ya Sarah, sasa kuna haja gani ya kwenda kuyadai mahakamani, ingekuwa ni kiasi cha kwenda kuyachukua tu maana kadi ya gari ndio inaonyesha mmliki wa gari, unless kamuuzia na document zipo, basi yeye angeenda tu kuchukua magari yake

5.) Wakati anamlioe Diamond hizo pesa, walikubaliana kwamba atamrudishia kama mkopo, alitoa kama zawadi? Huwezi ukadai zawadi uliyompa mtu tena kwa hiari yako. Yeye Sarah akatafute tu Bwana wa kwenda kumdangia, hana mali aliyoacha kwa Harmonize

6.) Sarah angekuwa ndio mume, na Harmonize ndio mke, Sarah angeweza kwenda kumdai pesa Harmonize? Kwamba ukadai pesa uliyomuhonga mkeo? Wanawake wana utaahira mwingi sana, na hii ndio inawafanya kulemaa akili, jitegemeeni wenyewe mbwa nyie

Tafuta interview ya hamo alisema crdb na jembe walimsaidia kulipa akauza na nyumba yake akalipa
Hakuna sehem alisema sarah kampa hata kumi ni uongoo uongoo nakuambia
 
Umejibu kama taahira aliyekatwa kichwa; Hiyo nyumba haina hati? Kama ina hati limeandikwa jina la nani? Kama yameandikwa majina yao wote, kuna haja gani ya kwenda kudai nyumba mahakamani wakati tayari hati imeshakupa nusu ya umiliki? Kama limeandikwa jina la harmonize ni kwanini wakati wameinunua / kujenga wote, kwanini? Hali kadhalika kampuni, imeandikwa mmiliki ni nani kuke Brella?

Watu wamekariri ukiwa na mzungu Ndio anakusaidia kila kitu ,hamo katolewa na diamond sio sarah bana
 
Back
Top Bottom