Je, ni sahihi kwa soko la Kariakoo kuhamishiwa Ubungo?

Ndio wasogeze waitoe nje ya mji kabisa Ila kutanua mji na huko watakapoipeleka. Pale ubungo jam itajaa mno muda si mrefu. Hata magari yanayoshusha na kupakia mizogo patakuwa pafinyu mno.labda wawekemo maofisi halafu ma godowns wajengee nje. Kule mteja aonyeshwe sampo tu
Gari za kushusha na kupakia mizigo zitakuwa zinaingia usiku kuanzia saa 4 hadi alfajiri.
 
Porojo zisizo hata na chembe ya fikra, yaani kwa uwekezaji wote huu wa ukarabati unaoendelea wa soko la kariakoo na kujenga ghorofa sita soko dogo halafu ndio lihamishwe? Sasa hayo mabilioni yatakuwa ya kazi gani? Jamani muwe mnashirikisha hata ubongo wakati mwingine
Kinachofanyika Ubungo ilipokuwa central bus terminal ni project inayoitwa East Africa Commercial and Logistics center ya mwekezaji kutoka China ambapo badala ya wafanyabiashara kwenda Guangzhou au Shenzhen wataagizia mizigo yao huku suplying na logistics vikifanyikia huku
 
Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwenda hadi Kariakoo wataishia tu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, nini mtizamo juu ya hili?

Video chini ina maelezo ya ziada.

Ninavyojua Karia koo ni shirika la masoko,shirika lazima likue,hivyo hata likihamishia shughuli zake ,Arusha,mwana,mbaya hata singer ni katika harakati za kukua na kujitanua🤔
 
Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwenda hadi Kariakoo wataishia tu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, nini mtizamo juu ya hili?

Video chini ina maelezo ya ziada.

haija kaa sawa ababu ubungo na mabibo ni karibu na buguruni haiwezekani masoko wasogamani sehemu 1 kama wanataka kulihamisha lihamishiwe bunju kisha serikali ijenge soko la mabibo linatia kinyaa kazi ya serikali kukusanya mamilioni pia ijenge soko la buguruni na ilala hayo masoko yanatia kinyaa
 
Inawezekana kweli umesikia au unataka kujua, ukweli ni kwamba soko la K'koo halihami isipokuwa Soko jipya litakalojengwa eneo ilipokuwa Stand ya Mabus ubungo, soko litakalokuwa na maduka 2000+ litakuwa likiuza vitu sawa na vile vya Kariakoo na kutakuwa na extra improvement kwa maana ya access ya bidhaa, infrastructures etc....haya nilimsikia Mkuu wa mkoa wa Dsm Amos Makalla aliainisha alipotembelea eneo hilo mapema week hii!

Hayo ndiyo ninayojua na ambayo nimeyasikia!!
sio maya lakini pia wajenge soko la mabibo linatia kinyaaa sio kuchukua kodi tu pia masoko yamelundikana sehemi 1 kariakoo ilala temeke mabibo kisutu tandale yote hayo yako yanajaribiana

ilitakiwa serikali ijenge soko kubwa kama la mabibi mfano bunju viazi mvilingo vitamu vikawa na matunda vikawa viashushswa bunju hili kuongeza ajila kwa vijana pia na masoko ya mikoani wilayani yote tangu uhuru sasa yamezidiwa na watu tatizo la watawala wa kibanu uona karibu sana
 
Porojo zisizo hata na chembe ya fikra, yaani kwa uwekezaji wote huu wa ukarabati unaoendelea wa soko la kariakoo na kujenga ghorofa sita soko dogo halafu ndio lihamishwe? Sasa hayo mabilioni yatakuwa ya kazi gani? Jamani muwe mnashirikisha hata ubongo wakati mwingine
Kinachofanyika Ubungo ilipokuwa central bus terminal ni project inayoitwa East Africa Commercial and Logistics center ya mwekezaji kutoka China ambapo badala ya wafanyabiashara kwenda Guangzhou au Shenzhen wataagizia mizigo yao huku suplying na logistics vikifanyikia huku
Umenikumbusha JPM alivyotanua njia ya Morroco Mwenge kuwa njia 5, halafu wakaja kuibomoa mwaka ulioufuata na kuifanya kuwa njia 4
 
Sasa mradi unakuwaje wa Mchina?
Kumbe ndio maana Edward Lowasa alikuja na kaulimbiu ya Elimu, Elimu ,Elimu
Naomba nijue kiwango Cha elimu yako Kwanza ??

Hivi Mlimani city wamejenga UDSM na sio Mlimani city properties mwekezaji kutoka Botswana UDSM wakitoa ardhi tu kwa mkataba wa miaka 30? Rudi shule kasome kitu chaitwa Joint Venture mm naweza kutoa ardhi wewe ukajenga majengo tukaingia makubaliano
 
1.EAST AFRICAN LOGISTICS CENTRE (UBUNGO) NI KITUO MAALUM CHENYE LENGO LA KUZILETA BIZAA ZA CHINA KARIBU ZAID HAPA TZ NA KWA NCHI JIRAN ZILIZO TUZUNGUKA KWA GHARAMA NAAFUU ZAID KULINGANISHA NA KUZIFUATA CHINA HIVO KULETA UNAAFUU WA BEI KWA WANUNUZI.

2.KITUO HIKI SIO MBADALA WA KARIAKOO BALI NI MWENZA WA KARIAKOO KWA MAANA KWAMBA HATA WAFANYABASHARA WA KARIAKOO BADALA YA KUFUATA MIZIGO YAO CHINA WATACHUKULIA HAPO KWENYE KITUO HICHO IKIWA NI HIVOHIVO NA KWA WAFANYABIASHARA WA MIKOAN NA MATAIFA JIRAN.

3.KUHUSU KUANZISHWA KWA MASOKO MENGINE KAMA KARIAKOO JIJI DSM,IELEWEKE KUWA HAKUNA KIKAO KILICHOKAA KUIFANYA KARIAKOO KUWA KAMA ILIVYO BALI NI NGUVU YA SOKO NDO ILIYOAMUA (FORCES OF DEMAND AND SUPPLY) HASA UKIZINGATIA KUWA KARIAKOO NDIPO MJI ULIPOANZIA NA KIUSAFIRISHAJI PANA CONNECTION NA MJI MZIMA WA DAR,HIVO KWA LUGHA NYEPESI KARIAKOO IMEGROW ORGANICALLY HIVO BASI HATA MAENEO MENGI KADIRI FORCES ZA DEMAND NA SUPPLY ZINAVYOKUWA KUBWA NDIVO ZITAKAVYOPELEKEA KUIBUKA KWA CENTRE KUBWA ZA KIBIASHARA NA DALILI ZIPO KWA MAENEO KAMA SEGEREA,MBAGALA,GONGOLAMBOTO,SINZA,MAKUMBUSHO,MANZESE,MBEZI,KAWE NA SASA UBUNGO NI SWALA LA MUDA TU KUAMUA WAPI PAWE VIP.
 
Sasa kama ni joint venture kwanini useme ni mali ya mchina?
 
Wewe ukiwa kama mteja, utaenda Kariakoo kwa madalali au utaenda jikoni hapo Ubungo? Inwhich case, si mbadala wake au?
 
Back
Top Bottom