Je, ni sahihi kwa wamiliki wa Night Club kurusha picha au video za wateja wao kwenye Mitandao ya Kijamii?

Ogopa mke wa mtu unahatarisha afya ya sehemu yako ya nyuma
 
Kaa nyumbani Kama haupendi kupigwa picha
 
Hii kitu haijakaa sawa.. Kwa mfano maeneo ya starehe pale kuna watu aina tofauti, wapo wengine na wake\waume za watu na heshima zao. Haya sasa umewachukua picha unapost social media bila kujali ubinafis wa mtu... Huon kuna mkanganyiko hapo ndan ya jamii
 
Hii inanihusu mim MME MWENZA, kwanzia leo nikienda club na mke wa mtu navaa musk, mume mwenzangu asinifaham endapo flash ya kamera ikipita
 
Kaa nyumbani Kama haupendi kupigwa picha
Nakondoo kama nyie ambao hamjui bila iyo elfu mbili yako huyo mmiliki wa bar ni fala tu ndio mnaongoza kwa kugongea bia.

Mtu yeyote mwenye anajua kutafuta hela na kuitumia hawezi kutoa majibu ya kifala kama yako.

Wewe ni aidha chawa au bado unalelewa hujiu kutafuta hela wala hujui hao wamiliki wanavyohaha hizo baa zikichacha๐Ÿค—

Biashara ya baa ni ya msimu na kismati huo ushamba wa sheria za kiwaki unafanywa na malimbukeni kwa washamba wenzao.Ukijiwekea sheria za kifamba wakati faida ya chupa moja ya bia ni jero mpaka buku.Hiyo biashara yako haitasurvive miaka mitano.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒWamiliki wajifunze kuheshimu wateja wao unless mtu kafungua baa kutakatisha pesa hapo weka nyodo na sheria zako za kifala utakavyo,lakini kama unataka profit in baa business jxt be humbe and act kiprofessinal.
 
Naunga mkono hoja.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Dah basi tumekufananisha ila siku pocha yako ikisambaa ukabambia mtu hapo kitamba na the great usijekana kuwa si weweee๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Haiwezekani kwa sababu sio maeneo yangu, mi nakula bata kwa mwamposa
 
Bro kichwa cha habari umeuliza swali, halafu ndani kwenye habari umejijibu mwenyewe... daah๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Wanda shall never end...


Anyway, bongo hakuna privacy, kila kitu ni public. So best option ni kubaki nyumbani
 
Bro kichwa cha habari umeuliza swali, halafu ndani kwenye habari umejijibu mwenyewe... daah๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Wanda shall never end...


Anyway, bongo hakuna privacy, kila kitu ni public. So best option ni kubaki nyumbani
Bongo kuna sehemu zingine ukienda picha l,video kuchkua marufuku

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ