Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Usipigwe picha we nani? Jifungie chumbani kwako kama vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MC, Mpiga picha umepanic naona kibarua chako wakuda wanakimwagilia maji ya motoUkienda kwenye tukio kama harusi,msiba,au pub jiandae tu kupiga picha, mwenye pub anatangaza biashara yake kupitia wateja,unataka usipgwe picha? Harusini,kwamba mc amwambie mmoja mmoja kwamba sasa unachukuliwa picha? Kama hauhitaji picha tupishe.
Wewe mbona haujajifungia ndani, unafikiri ni raha kupigwa picha umejikojolea alafu picha kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii.Usipigwe picha we nani? Jifungie chumbani kwako kama vipi
Kwenye masherehe naunga mkono hoja!
Ila kwenye bata hapana tunajitakia - mtu na heshima zako unaendaje kitambaa cheupe?
Kuna mahala pa kwenda huko hata ukipigwa picha watu wanaogopa! Na pakistaarabu huwa wanafanyaga promotion wanamlipa mtu ama wakipiga picha unakuta zile za familia
View attachment 3233902
Kama huyu kujitakia eti mrembo?!
Wewe Sasa ndiyo mfano nzuri wa kilaza.Ukienda kwenye tukio kama harusi,msiba,au pub jiandae tu kupiga picha, mwenye pub anatangaza biashara yake kupitia wateja,unataka usipgwe picha? Harusini,kwamba mc amwambie mmoja mmoja kwamba sasa unachukuliwa picha? Kama hauhitaji picha tupishe.
Endelea kugegeda wake za watu it was an alertInaboa sana
Kuna night club moja hapa Dom pia Niliwahi kukutana na huo upuuzi Yaani nimekaa zangu nakunywa pombe na mchepuko wangu(mke wa mtu) nashangaa tunamulikwa na mwanga wa flash ya picha nilistuka sana na kumrukia yule mpiga picha ili nimng'oe meno ila yule dogo akajitetea kwamba amepewa kazi na wahusika ikabidi niombe kuonana na manager lakini naye akanijibu majibu ya kihuni tangu siku hiyo siendagi tena hapo Yaani ni upuuzi sana kupiga watu picha halafu wanaweka mitandaoni!
Imagine huyo afande jirani yangu angeona picha mitandaoni niko bar nakunywa pombe na mkewe ingekuwaje?!
Ndio tena wenzenu wanaona rahaView attachment 3233902
Kama huyu kujitakia eti mrembo?!
Sehemu ndo ambayo watapigwa picha sana😆Kitambaa cheupe Kuna nini Sasa, mbona mzabzab, Vishu Mtata na Half american ndio wahudhuriaji wapendwa😂🤣
kweli pale pabaya 😂😂Sehemu ndo ambayo watapigwa picha sana😆
Kwenda night club na kulinda heshima haviwezi kukaa kwa amani kwenye sentensi moja.Kwa Miaka Ya Hivi Karibuni Kumeibuka Wimbi Kubwa La Wamiliki kuchapisha Picha Au Video Za Wateja Wao Katika Mitandao ya Kijamii Hali Ambayo Kwa Namna Moja Sio Nzuri Kwa Baadhi Ya Wateja.
Unaweza Kwenda Kwenye Baadhi ya Kumbi za Starehe Kipindi Ukipata Kinywaji Iadara Ya masoko Na Habari Wao hufanya Kazi Za Kurekodi Video Kwa Ajili ya Promotion .
Kwa Jicho La Marketing Strategy ni Nzuri Kwa Night Club hizo Kwani huongeza engagement Kwa Wateja Wao Na Kufikia Wateja Wengi Zaidi
Lakini Kwa uwanda Mwingine Huwa inashusha Heshima Na Hadhi hasa Pale unapojikuta Katika Mitandao ya Kijamii Bila ya Kuwa Na Idhini Mtaalam
Katika Hatua Nyingine Masters Of Ceremony Nao Wamekuwa Wakichapisha Picha Au Video Kipindi Cha Harusi Jambo Ambalo Sio Zuri Hasa Pale Ambapo Hakuna Ridhaa Kutoka Upande Wa Mteja
Watu Wengi Sana Wamekuwa Wakikuta Katika Mitandao ya Kijamii Jambo Ambalo Linatatiza Kuchanganya Katika Midhania Isiyo Sahihi
Kuna Mambo Ambayo Yanatakuwa Yafanyike Kuhakikisha kunakuwepo Na Usawa Katika ya Pande Mbili Ili kupunguza Migongano kati ya Wateja Na Wamiliki Wa Kumbi za Sherehe Au MC Katika Kazi Zao
Kisheria, wamiliki wa night club wanapaswa kuwa waangalifu wanapohusisha picha au video za wateja wao kwenye mitandao ya kijamii au kwenye matangazo bila idhini yao. Kwa ujumla, kuna kanuni kadhaa zinazopaswa kuzingatiwa:
1.Sheria za Faragha : Katika nchi nyingi, kuna sheria zinazolinda faragha ya watu binafsi. Kuchukua picha au video za mtu bila idhini yake inaweza kuzingatiwa kama uvunjaji wa faragha.
2. Idhini Wamiliki wa mali kama vile night club wanapaswa kupata idhini wazi kutoka kwa wateja kabla ya kuchapisha picha au video zao mtandaoni. Hii ni muhimu ili kuhakikisha kuwa wateja wanajua na kukubali kuwa picha zao zitashiriki Katika Machapisho ya Mitandao ya Kijamii
3. Matumizi ya Picha za Umma Katika hali fulani, kama vile matukio ya umma ambapo watu wanajulikana kuwa wanachukuliwa picha, sheria zinaweza kuwa tofauti. Hata hivyo, ni vyema kuzingatia maadili na kuheshimu haki za binafsi.
4.Mkataba wa Huduma Wakati wa kuingia katika night club, kunaweza kuwa na mkataba (kwa mfano, kupitia alama au matangazo) ambao unaweza kueleza jinsi picha na video zitakavyokuwa zikitumiwa. Ni muhimu wamiliki wajue ikiwa hilo linaweza kutumika kisheria.
Katika hali yoyote, ni bora kwa wamiliki wa night club kufuata taratibu za kisheria na maadili ili kulinda haki za wateja wao na kuepuka matatizo ya kisheria.
Soma Pia: Tahadhari kwa MC's wa maharusi bongo
ShenziEndelea kugegeda wake za watu it was an alert
Afande angechagua moja ya jeneza unalouza akuhifadhiInaboa sana
Kuna night club moja hapa Dom pia Niliwahi kukutana na huo upuuzi Yaani nimekaa zangu nakunywa pombe na mchepuko wangu(mke wa mtu) nashangaa tunamulikwa na mwanga wa flash ya picha nilistuka sana na kumrukia yule mpiga picha ili nimng'oe meno ila yule dogo akajitetea kwamba amepewa kazi na wahusika ikabidi niombe kuonana na manager lakini naye akanijibu majibu ya kihuni tangu siku hiyo siendagi tena hapo Yaani ni upuuzi sana kupiga watu picha halafu wanaweka mitandaoni!
Imagine huyo afande jirani yangu angeona picha mitandaoni niko bar nakunywa pombe na mkewe ingekuwaje?!