Je, ni sahihi kwa wanandoa kuanza tendo la ndoa kwa Sala?

Je, ni sahihi kwa wanandoa kuanza tendo la ndoa kwa Sala?

Yeah, ni sahihi kwa wanandoa kuanza tendo la ndoa kwa sala. Katika imani nyingi za dini, sala ni njia ya kuomba baraka, mwongozo, na shukrani kwa Mungu. Kwa wanandoa, kuanza tendo la ndoa kwa sala inaweza kuwa njia ya kuomba ulinzi, uhusiano mzuri, na upendo wa kweli. Sala inaweza kusaidia wanandoa kuungana kiroho na kumtanguliza Mungu katika kila kipengele cha maisha yao, ikiwa ni pamoja na uhusiano wao wa kimwili. Hata hivyo, hii inategemea zaidi imani na maadili ya kila wanandoa binafsi.
 
Hello wakuu,
Greetings,
Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba
Nawakaribisha.
Inategemea na misingi yenu ya kiimani na msingi wa kila mmoja kwenye swala la tendo kwa ujumla wake.

Binafsi naona ni kumchosha Mungu tu aisee, huo muda wa kusali kuombea shughuli ya kufanya ngono si heri uombee wagonjwa na wenye mahitaji.
 
Back
Top Bottom