KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Fundisho hili umelitoa wapi mkuu?Kwa maana Yesu hakuwahi kuwa na mke.Ni sahihi kabisa! Kwa wanandoa (Mme mmoja na Mke mmoja) hilo ni Tendo takatifu kabisa.
Kwa namna ile ile mnavyoshukuru na kuombea chakula kabla ya kula,shukuru kwa ajili ya ndoa then omba kwa ajili ya tendo la ndoa!
Kwa kila jambo jema mshirikishe Mungu hasa pale mnapotaka mtoto!