Je, ni sahihi kwa wanandoa kuanza tendo la ndoa kwa Sala?

Je, ni sahihi kwa wanandoa kuanza tendo la ndoa kwa Sala?

kwa hiyo kama watu wamefanya wakati wa kulala asubuhi napo morning glory mnaomba tena.
Lazima muwe walokole sana.
Kwa zile familia kabla ya kulala mnasali asubuhi mkiamka mnasali wakati wa kuanza tendo mnasali, wakati wa kula mnasali ukienda kwenye kazi zako unasali ukimaliza kazi unasali.
Hapo lazima uende huko wanaposema mbinguni.
Kwa mtazamo wangu naona ni sahihi ila ni ngumu kutekeleza kila siku na kila mara kiuhalisia in real life situation.
 
Mungu anakazi nyingi sana za kufanya, yaani aache kusikiliza maombi ya wagonjwa aje asikilize viumbe vinavyotaka kuifinyia kwa ndani? Kuweni siriazi basi.

Inanikumbusha miaka ya 2010 nilipata demu mshika dini hatari. Wakati wa kuingia chooni kuna dua inapigwa, kabla ya kulila tunda pia alikuwa anapiga dua ndio napewa kibali cha kulitafuna.

Nilikuona naona kama nacheleweshwa kitoto cha shetani, dua zinapigwa wakati hata ndoa hatuna tunapiga uzinzi. Nikatoka nduki.
 
Ni sahihi kabisa! Kwa wanandoa (Mme mmoja na Mke mmoja) hilo ni Tendo takatifu kabisa.
Kwa namna ile ile mnavyoshukuru na kuombea chakula kabla ya kula,shukuru kwa ajili ya ndoa then omba kwa ajili ya tendo la ndoa!
Kwa kila jambo jema mshirikishe Mungu hasa pale mnapotaka mtoto!
 
Nadhani hata hao wanaojaribu kuomba kabla ya kufanya tendo la ndoa hawawezi kuniombea siku zote kama tunavoombea chakula.

Ni rahisi kuomba kabla ya Kula kuliko kuombea tendo la ndoa siku zote maana sometime mwenzio anaweza kuwa Hana Mudi lakini ukafosi King. Hapo hakuna maombi.
 
Ila unaweza uka sali wewe kama mwenzako hana ushirikiano kwenye hilo.
Ujue tunaanza kufanya mapenzi nje ya mfumo, halafu tunahukumiwa na dhamiri, kisha hio inakuwa hata kama upo na mwenzi wako unao ni yale yele tu, una fanya matusi kisha uombe Mungu!!!
Inabidi mshirikianee Na tendon lisiwe safi
 
kwa hiyo kama watu wamefanya wakati wa kulala asubuhi napo morning glory mnaomba tena.
Lazima muwe walokole sana.
Kwa zile familia kabla ya kulala mnasali asubuhi mkiamka mnasali wakati wa kuanza tendo mnasali, wakati wa kula mnasali ukienda kwenye kazi zako unasali ukimaliza kazi unasali.
Hapo lazima uende huko wanaposema mbinguni.
Kwa mtazamo wangu naona ni sahihi ila ni ngumu kutekeleza kila siku na kila mara kiuhalisia in real life situation.
Ila ukijicommitt Kwa prayers Mkuu the more you pray unakua addicted to pray huchokii๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hello wakuu,
Greetings,
Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba
Nawakaribisha.
Yesu hakuwahi kuwa na mke, unafikiri jibu utalipata kwa nani?
 
Back
Top Bottom