KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Fundisho hili umelitoa wapi mkuu?Kwa maana Yesu hakuwahi kuwa na mke.Ni sahihi kabisa! Kwa wanandoa (Mme mmoja na Mke mmoja) hilo ni Tendo takatifu kabisa.
Kwa namna ile ile mnavyoshukuru na kuombea chakula kabla ya kula,shukuru kwa ajili ya ndoa then omba kwa ajili ya tendo la ndoa!
Kwa kila jambo jema mshirikishe Mungu hasa pale mnapotaka mtoto!
Kwangu naona niupotevu wa muda kabisa kwa maana hata tusipoomba Mungu kashafanya yake kashawapa viungo kwahio nikama mnaombwa ruhusa ya kuvitumiaHello wakuu,
Greetings,
Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba
Nawakaribisha.
Tendo la ndoa sio unzinzi. Ni muhimu kusali kabla ni moja ya maandalizi. Mungu hachoshwi na alichokiumba na kiuhalisia Mungu ni mwingi wa rehema (baraka) mwenye kurehemu (kuzitoa).Hello wakuu,
Greetings,
Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba
Nawakaribisha.
Si mwaomba kiwe cha Amanihakiyamungu
Kabla YA chochote unaanza Na prayersSasa ukianza kusali si inabidi mashine ilale kwanza, hivi unaweza kusali huku umedindisha? Kwahiyo utatumia utaratibu upi kuizima na kuiwasha kama TV?
Nakubaliana Na wewe that's why biblia imesema Na malazi yawe safiAlichouliza mdau ni kitu cha msingi Sana,Sala ni muhimu kwa kila Jambo,ila nadhani cha muhimu zaidi ni kujua lengo la hiyo Sala.
Wanandoa wengi hawajui kuwa kuna kitu kinaitwa "holy bed" yaani ule usafi wa kiroho wa kitanda,Kuna vitu vingi vinafanywa na wanandoa vina najisi kitanda na ni machukizo matupu mbele za M- ngu,kwa hiyo Sala inakuepusha na vishawishi vya kishetani kwny namna ya ufanyaji wa hilo tendo takatifu.
Eti jamanii Kuna wale ambao Kwa mkewe hasimami hamuoni kama ukitanguliza Sala hatakama kulikua Na ubaya wowote unaondoka show inakua showTendo la ndoa sio unzinzi. Ni muhimu kusali kabla ni moja ya maandalizi. Mungu hachoshwi na alichokiumba na kiuhalisia Mungu ni mwingi wa rehema (baraka) mwenye kurehemu (kuzitoa).
Moja ya matokeo ya tendo la ndoa ni kupata mtoto, kuna ubaya gani kuombea kheri juu yake.?
Basi Tuendelee Kusali si kabla ya tendo Tu,, Hata baada ya Tendo la NDOA Kipenzi.Ndiyo