Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
-
- #61
Hii Ni kama kuombea chakula au unavotoka asubuhi kuelekea kwenye sehem YA riziki yako unasali jioni unavokua unatoka kurudi nyumban unasali pia
NdioInawezekana
Ndoa halali ya kanisani, ndio sio uasherati na zinaaHello wakuu,
Greetings,
Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba
Nawakaribisha.
Mimi siwezi kusali huku nimedindisha, practically impossibleKabla YA chochote unaanza Na prayers
Umhh hii hapana aisee maana Kuna ambao wakinogewa wanatukana ,Sasa kama mlianza na pambio afu badae unatukana sio poa sanaHello wakuu,
Greetings,
Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba
Nawakaribisha.
Na hata ukimaliza Kubanduliwa usisahau pia Kusali kwani Wabanduaji wa Kweli katika Nyakati hizi tuko Wachache sana.Hello wakuu,