Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

Na si waona jamaa alivohisi kuchapiwa eti akakaa kimya na ndo hapo mkewe anamtesea.

Sometimes jaribu kua mkali hasa kwa vitu usivyoelewa walau hata asifanyie mbele yako kuliko kukaa kimya hadi anapokea sim ya mchepuko mbele yako ni dharau hiyo.
Huyo mkewe ni Legendary wa hizo kazi..ukiwa Layman utachukulia poa ila wana wanafanya yao.Ukiwa home mume ni mmoja tu na heshima lazima ichukue mkondo wake
 
uaminifu n jambo moja na kumuamin mtu n jambo lingne, uaminfu ukipotea unashndwa kuamin wengne.

sku zote mwz huis kila mtu n mwzi, usihukumu bila kupata ushahidi.
 
Ukikua utaelewa kuwa mkeo ni joka tayari, unauliza unachokihisi wasiwasi ni upupu wenye lengo la ulinzi
 
Hizi mambo ndo ziltaka brother atumbue mtu kende baada ya kukutana na wife butcher ametumwa nyama na boss wake...
 
Ushapigwa wewe.
 
Me namuitaga baby wangu boss wangu nikiwa naongea nae kwa simu haswa nikiwa na mtu ambae sitaki ajue naongea na nani[emoji28][emoji28][emoji28]

Ila mkeo as long as amekwambianni boss wake basi ni boss wake [emoji28][emoji28]
Hahahahah hii janja janja ya watoto wa kike tunaielewa ila tu huo ujinga uache ukishaolewa
 
Huko mbona mbali sana mkuu yeye atengeneze mazingira kwa mke tu ya kuanza kumfuatilia na hiyo namba ya jamaa au ikibidi aichukue amchimbe biti uone demu atakavyong’aka 😅!

Yani kama mke ananufaika na huyo mwamba lazma atakuwa mkali balaa maana ataona mume anamuharibia ishanitokea hio demu akawa ananiletea ukali kweli nikikomaa huyo nani kufikia stage akaona tumwagane tu nikasema sio kesi!

Hatimae yalimshinda akarudi kwa magoti.
 
uaminifu n jambo moja na kumuamin mtu n jambo lingne, uaminfu ukipotea unashndwa kuamin wengne.

sku zote mwz huis kila mtu n mwzi, usihukumu bila kupata ushahidi.
Hii ndio kauli ya kitoto mnayopenda kujitetea nayo!

Hamna mtu mjinga kiasi cha kutojua tabia za mwenza ambaye sio muaminifu. Kitendo tu cha kupokea simu na kukimbia nayo nje kinaashiria kuwa mume alitakiwa asisikie yanayozungumzwa.

Usiri wa nini uaminifu unajengwa na ukweli na uwazi. Ukiona you aren’t comfortable au hauko free na mpenzi wako jua you are miles away from being trusted.
 
lkn sku zoote mtenda hutendwa, na kitendwa huis kaonewa.
ukiwa mwaminifu utapewa mwaminifu, ukiwa mambo mengi bas unapata wa hvyo yaan unapata unachostahili.
 
Hapo kilichomchanganya mwamba ni neno ...wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…