Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

Kuna watu watakuambia Ukimchunguza bata ...sijui ,mwanamke achungwi...


Sawa..ni heri mwanamke ALIWE hukohuko anakokua ,LAKINI NDANI YA NYUMBA YAKO ANAHESHIMU .

Na ili aheshim ni lazima UWE MKOLONI NDANI KWAKO YAAN UWE MKOLONI KWELIKWELI.


Hawa wanawake ukiwalegezea wanakaza na wakikaza hautaamini kuna siku ataomba msamaha kwa kuchelewa kupeleka Papa mbele yako .



Nirudi kwa Mada yake....Je ni sahihi ???.



Sio sahihi, alafu kana mke kako ni vile vyanamke vyenye nyege mdundo vile vinavyojishobokesha kwa Wanaume .


Kuna watakuambia...Mwanaume Jiamini, ohooo wee mwanaume ni Insecure !!!...


Amini nakuambia, Ndivo wanavyochati na kuongea na michepuko yao ivoivo



CHAKUFANYA ????.


Njia ya MTU muongo na msaliti huwa ni fupi mnooo kama maisha ya nzi.


Wewe tulia tu, unaweza ingia kwenye Call setting yake, ukaset simu zake zote anazoongea ziwe zinajirekodi .



SEMA NN, UKIAMUA KUFATILIA , HAKIKISHA UNA MOYO WA CHUMA, AU HUMPENDI KWAMBA UNAWEZA MUACHA ,LKN KAMA UNAJIJUA UNAMPENDA HATA UKIMFUMA HUWEZ MUACHA ,USIFATILIE,......

nimeyasema hayo kwa sababu siku hizi mwanamke kua na mchepuko/michepuko , tena mademu hawa wasokua na hofu na Mungu, ni kawaidaaaa. Kwanza asipokua naye, anaonekana ni mshambaa ,wa Dunia ya wapi sijui...


Niivi saizi mwanamke yaan kua na washikaji zaidi ya mumewe ,ni utamaduni.
Mm Kuna mmoja jirani kabisa na kwangu na mlaga Hadi nyuma ya nyumba yake nae ananiita boss, akitumia sms utasikia "niambie Boss"
Boss haitumiki t kama mkuu wa idara Bali nijina la heshima analo itwa mkuu fulani ktk ishu fulani
 
Me namuitaga baby wangu boss wangu nikiwa naongea nae kwa simu haswa nikiwa na mtu ambae sitaki ajue naongea na nani[emoji28][emoji28][emoji28]

Ila mkeo as long as amekwambianni boss wake basi ni boss wake [emoji28][emoji28]
mbona mnataka kumuua mwenzenu na mwaka ndio umeanza huu......
 
Akiwa kwako na nje ya muda wa Kaz huyo boss hakutakiwa kumgombeza mkeo Kwan yupo chin ya himaya yako

Akiwa ofisn sawa au ndan ya muda wa Kaz Hilo halina. Shida



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuepuka haya, wanaume tutafute pesa ili tuwafungulie wake zetu miradi wasimamie.
Yanayoendelea maofisini yanasikitisha.
Mke ni wako akiwa home, nje kuna wenzako wanammiliki kupitia ajira nao wanaitwa mkeo " mme wangu"
 
Nyama ileile, mapishi tofauti na ladha nayo ni tofauti

Nyama inaweza kuwa ileile kila siku, mpishi akawa yule yule kila siku,akaipika tofauti kila siku na ladha ikawa ya tofauti vilevile
 
2022 Rule namba 1...

Never talk about 2021...

Ila mkuu unamegewa... Hamna cha boss hapo ni basha tu mla marinda huyo.
 
Me namuitaga baby wangu boss wangu nikiwa naongea nae kwa simu haswa nikiwa na mtu ambae sitaki ajue naongea na nani[emoji28][emoji28][emoji28]

Ila mkeo as long as amekwambianni boss wake basi ni boss wake [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kumbe wapo wengi.
 
Back
Top Bottom