Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

Relax wewe jamaa, usitishwe na maneno ya raia wanakuambia mkeo anachapwa nje...

Mimi binafsi huwa naitwa boss na wachuchu kibao, na sababu ya kuitwa hivyo ni vile huwa nanunua bidhaa kwao, hivyo huniita kwa heshima ya mteja ni mfalme...

Huenda kampuni ya mkeo wanahitaji bima ya NHIF, na mkeo ndio contact point ya kampuni na hao bima...

Huenda huyo jamaa ni mtu mwenye nafasi huko NHIF na mkeo labda alizembea kukamilisha kitu fulani na hiyo simu ilikuwa ni simu ya wito tu (makazini huwa watu wanaita ku-push), ambapo unapopush haswa kina mama ni lazima uwachimbe biti ili mambo yasogee (waliowahi kuwa maboss wa kina mama/wadada/wanawake wanaelewa)...

Relax
 
Kifupi ayo ni makubaliano baina ya mkeo na jamaa endapo jamaa akipiga simu na mkeo akiwa na wewe mazungumzo yaanze na nenk bossy.

Kwa hapo mkeo ndio itakua alianza kuita bossy na jamaa akajua hapa teyari mume yuko pembeni ndio akawa mkali kwa style ile.

Mzee baba fanya analysis zako vizuri kuna kitu hakiko sawa mahali
 
Nitoe pole huyo bwege tayari anacontrol iliyokomaa kwa wife wako ambae kwa sasa ni kama sister wako, mbinu iliopo wamebuni code/lugha/maneno ya kuongea ili wawe huru muda wote ili muda wote uwe bwege bwegulile anapokea simu kibwagizo Boss.

Relationship command involuntarinvoluntarily inasoma kwa tone ya kuchukia ya mpiga simu.

Mchunguze kituo cha kwa lulenge kama bado anzisha haraka. 100 Jokes but 1 works.
 
PESA
PESA
PESA
Pesa pesa pesa kvp ushawahi kuona shida za mwenye pesa kwenye mapenzi,? Mme anatembelea Benz na Mke Benz ila mke tunamla waandishi coursework zake na Research udent raha unakula vinono na pesa ndefu
 
Mkeo aliniambia hajaolewa,ndiyo maana niliweza kumkaripia kwanini anachelewa kupokea simu, ata alivyo kuwa ananiita boss wangu ni kwamba anatengeneza mazingira siku nyingine nimtongoze aanze kuniita wangu.
 
Asante mkuu. Hapa umeshauri kama Hilo jamaa.
Nime reconcile na Wife. Mambo yameenda sawa. Tunaenda Kusherehekea Sherehe ya Yesu Kristo Mwokozi wa Binadamu.
 
Asante mkuu. Hapa umeshauri kama Hilo jamaa.
Nime reconcile na Wife. Mambo yameenda sawa. Tunaenda Kusherehekea Sherehe ya Yesu Kristo Mwokozi wa Binadamu.

Sawasawa...
 
Me namuitaga baby wangu boss wangu nikiwa naongea nae kwa simu haswa nikiwa na mtu ambae sitaki ajue naongea na nani[emoji28][emoji28][emoji28]

Ila mkeo as long as amekwambianni boss wake basi ni boss wake [emoji28][emoji28]
ndugu Amehlo umejibu maswali yote. Aksante.
 
Me namuitaga baby wangu boss wangu nikiwa naongea nae kwa simu haswa nikiwa na mtu ambae sitaki ajue naongea na nani[emoji28][emoji28][emoji28]

Ila mkeo as long as amekwambianni boss wake basi ni boss wake [emoji28][emoji28]
kitaaalamu sana hii
 
Umemaliza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ