Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?


Bora kama ananiaandaa kisaikolojia hata siku nikimfuma siwezi kushtuka sana.
Lakini kwa upande wangu naamini ananipenda sana ndio mana naniambia haya ili tusaidiane ku sort out
 
mkeo anakupenda ndio maana anakwambia yote hayo lakin unamtiani kwel kama vip mkamatishe boss kwa wanao jihusisha na upambanaji na rushwa
 

That's why nikioa sitaki mkewangu afanye kazi ya kuajiliwa na mtu... kama ntashindwa kufungua ofice binafsi basi bora mkewangu akae tu ndani mambo mengine kuyaepuka ni rahisi tu as long as wanawake wenyewe hela zao hua hazionekani bora akae ndani tu [emoji4]
 
Ndoa yako ni muhimu zaidi,kuliko hiyo kazi anayofanya;kazi itakuharibia ndoa,au kukuletea maradhi iwe ya moyo au zinaa.
 
Wewe mwenye akili kubwa unanishauri kitu gani
Mambo yanayomhusu mkeo hata mama yako usimwambie. Wanawake ndio wanaosemaga mambo yao mpaka ya chumbani. Hata kama mkeo hajui kupika chapati au mashine yake inawalakini usije ukamwambia mtu. Labda daktari.
Ushasikia mwanamme anakuambia Mkewe mtamu au akuambie usiku wa jana walifanya kitu gani. Hayasemwi hayo mkuu
 
na wewe bwana mungu na kutongozana wapi na wapiiii..
 
Uko sahihi KABISA mkuu, huyo naye mke wake naye anayataka....
KWELI Kama hapendi na hataki angewajibu harsh/kwaukari na angeacha kuwajibu kilaani/diplomasia yaAni ansema NO huku text/smu zao anajibu, lunch zao anakula,lift anapanda, vizinga anawapiga, anawakonyeza na kuwarembulia............

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Toeni ushauri wakuu nini kifanyike? acheni kulaumu ndugu zangu
 

Kwani mkuu wale wanasaikolojia wanashauri kuhusu ndoa na mapenzi wanafanya kwa makosa?
 
Toeni ushauri wakuu nini kifanyike? acheni kulaumu ndugu zangu
Making you understand your problem is one way of helping you solve it.
But since we ni mzee wa spoon feeding ni hivi, "Mkeo ana element za kimalaya na akiziendekeza atakujakuliwa sana. So mwambie aamue moja akate mazoemazoea na wanaume ama fyekelea mbali tafuta anayejielewa"
 
Kimsingi mkeo pia ane anajichekesha chekeshaa sanaa kwa huyo Boss aisee.. na atagongekaaa soon!! Kama anangekuwa mkali akiambiwa huo upuuzi na hivi ni mke wa mtu yani Huyo Boss asingerudia kabisaa.. Sema mkeo anajichekesha na atampa tunda soon usipokuwa mkali.. Akikwambia wewe mchane ukweli mwambie aache mazoea na kujichekesh kwa huyo boss mwanamke akiwa mkali wanaume wengi huwa tunagive up hasa akiwa mke wa mtu... Ilaa kaam ndo anakataa huku anajichekeshaa mamaeee wafwaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…