Kwa hiyo ameijibu serikali ya US kwa niaba ya nani? Kwa nini asiandike mawazo yake kwenye mitandao ya jamii kuliko kuandika barua rasmi kama mtu anayeisemea serikali?Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Hajaandika kuisemea serikali, pale kaandika malalamiko yakeConcerned citizen,Lissu anaandika barua kwenye Balozi za US na EU kama nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna nembo lakini contents zitasomwa ubalozini Shehe. Ndo mana juzi wale wapuuzi wa ccm pale DODOMA wakaacha kujadili hoja za Zzto wakajadili karatasi iliyotumika kuandikia hizo contents. Leo wewe unasema ameandika kama mtu binafsi.mbona ZZTO Kaenda kama mtu binafsi lakini mnataka Lumia akirudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Hakuna hoja nzito zozote alizotoa Albert Msando. Hata kama Tanzania ni sovereign state, Paul Makonda hana haki kuondoa uhai wa raia wengine wa Tanzania ambao katiba hiyo hiyo ya Tanzania inautambua. Makonda anaua watu halafu Serikali inakuwa kimya. This is not fair.
Kila mtu ana namna yake kuonyesha uzalendo wake kwa nchi yake. Mimi kwa vile ni member wa jf, uzalendo wangu ni kwa kuchangia humu jf kizalendo.Mbona ww hujajibu, au ww sio mzalendo kaka?
Sawa mkuu wa wilaya mtarajiwa[emoji3]Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
duuh kuna walio bora kisa tu wako upande waoMkuu hao ndio watanzania. Sikuona uchambuzi wa barua ya Zitto humu ila kwakuwa ni Msando kaandika basi ati hana hayo mamlaka ya kuandika barua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe Pascal hebu jiulize Waziri mwenye dhamana na mambo ya nje yuko kimya,Balozi wetu marekani yupo kimya unadhani wameshindwa kujibu au sio wazalendo? Hili suala sio la ccm na chadema ,Msiwaudhi Wakubwa kwa kutafuta sifa ,Wahusika Serikalini wanajua nini cha kufanya.Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Kila Mbunge ana right ya kutumia official Bunge letter head kwenye every official communications.Zitto ametumia karatasi za bunge akimaanisha kama alichokiandika kinaridhaa ya bunge. Angetaka kuandika kama mtu binafsi, na yeye angetumia karatasi isiyo na nembo ya bunge au nembo ya muhimili wowote nchini.
Hao wote wanasubiria official communique kutoka US, under the freedom of expression, mtu yoyote unaweza kumuandikia mtu yoyote duniani kuhusu jambo lolote na ukawacopy watu wowote.Na wewe Pascal hebu jiulize Waziri mwenye dhamana na mambo ya nje yuko kimya,Balozi wetu marekani yupo kimya unadhani wameshindwa kujibu au sio wazalendo? Hili suala sio la ccm na chadema ,Msiwaudhi Wakubwa kwa kutafuta sifa ,Wahusika Serikalini wanajua nini cha kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu ana namna yake kuonyesha uzalendo wake kwa nchi yake. Mimi kwa vile ni member wa jf, uzalendo wangu ni kwa kuchangia humu jf kizalendo.
P
Anaaibisha msando, kwa sababu kwa barua kitu ambacho wao wamarekani hawajaandika barua, uliona wapi doc.ya twitter inajibiwa kwa barua, angeenda huko huko angemjibu PompeoKwani kuna nembo ya serikali kwenye barua yake?
Chadema mnatuaibisha.
Kwa we ambaye hujajibu sio mzalendo?Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Hivi uzalendo ni nini? Kwa tafsiri halisi ya kiswahil na sio kwa tafsiri ya sasa ya utawala wa magufuli ambayo kwa sasa uzalendo ni kutete kila kitu cha awamu ya tano hata kama ni ujinga au uvunjifu wa haki za wengine ila lengo ni kumfurahisha mzalendo namba moja?Kwenye mitaala ya shule zetu tangu primary hadi chuo Kikuu, tunapaswa tuwe na mtaala wa uzalendo ili Tanzania tuzalishe wasomi wazalendo badala ya kuzalisha wasomi mamluki.
P