Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Nadhani Mh Benjamin Mkapa asinge kubali upumbavu wa Msando kwanza Aliyetoa tamko ni Head of State department (nje) msando kwa upumbavu anawajibu ubalozi wakati tamko limetoka DC,pia yeye simtumishi wa serikali katika idara yoyote ya mahusiano ya kidiplomasia kisa ccm nakujikomba au rafiki wa RC huu ujinga umepitiliza ngoja nisikie kabudi atasemaje!au watamuwajibisha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila Mbunge ana right ya kutumia official Bunge letter head kwenye every official communications.
P
Hakuna aliyesema hilo, fake newsAfadhali Msando kuliko yule aliyesema turudishe watu wetu waliopo Marekani na wao wawachukue wa kwao.
Nakaona ka-Msando hapo kanacheza na naniliu za wakubwaHuko CCM kila mtu ni papa
Mh! Kwahiyo hata kama nchi yako imekiuka misingi ya sheria, haki za binadam na uatawala bora pia itapaswa utetee tu kwa sababu ni jukumu la wazalendo kutetea nchi yao !!!!!Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Jibuni hoja zake kama ninyi kweli mnajitafutia "ugali wenu kihalali"Mwanahabari Huru,
Ukisikia ugali wa shikamoo ndo kama hivi,
I mean, Msando ni mtumishi/mtumwa wa Bashite, asipojibu atakula wapi wakuu?
Niliposema Chadema kwa sasa wametuma vijana mitandaoni wasiokidhi vigezo kwani wanatoa " Hoja Mdebwedo" nilikuwa namanisha.Kwani kuna nembo ya serikali kwenye barua yake?
Chadema mnatuaibisha.
Hujajibu chochote kilichozungumzwa na MsandoOle Mushi Thadei akiweka uchama pembeni huwa ana MANTIKI sana.
Albert Msando ni Mpuuzi fulani anayeendeshwa kwa njaa ya Tumbo,,,,wakati alipopata hela kupitia uwakili wake na kujiweza kiuchumi alikuwa na akili nzuri baada ya kufulia hela kukata ikabidi arudishe mpira kwa kipa(CCM).
Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Marekani wataufyata...Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Tunahitaji tamko la serikali "We need the government to refute with facts, for good international image, not through back doors.'Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Hili neno "Mzalendo" siku hizi lina maana tofauti; mzalendo kwa wana CCM ni mfia watawala, sio mfia nchi.Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P
Nchi imechafuliwa kwa jambo gani? Kisa we are a sovereign country ndio tusiambiwe? We are a signatory to various international treaties, conventions and protocol ikiwemo human Rights, hauwezi kuwa una violates haki za binadamu kisa wewe ni sovereign country usiambiwe.Mwanahabari Huru, Kwanza naunga mkono hoja.
Nchi yako inapochafuliwa na mabeberu ni jukumu la wazalendo kuitetea nchi yako.
Huo ndio uzalendo
Hakuijibia serikali, amejibu kama mwananchi Mzalendo.
P