Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThanksDuh! Mkuu, mbona makasiriko kihivyo? Inaonekana una lako jambo. Au ulitoa sadaka ya kujimaliza halafu haikurudi kama ulivyotarajia? Pole.
1. Kwani ungelitumia lugha ya kistaarabu unadhani tusingelikuelewa? Umetukana, umedhalilisha na umedharau kupitiliza. Unawaitaje watu waliokuwa wanasali/wanamwabudu Mungu Huyo huyo anayetajwa Neno la kwanza katika wimbo wa Taifa kuwa eti ni Wahuni, ni Misukule, ni Mbwa..... Kweli broo; Hebu watake radhi hao watu ulio watusi hivyo usije kulaaniwa bure/mno.
Mkuu , yafaa uuone wimbo wa Taifa kama mojawapo ya sala nzuri esp. kwa Wakristo lakini pia na kwa Watanzania wote. au wewe hutaki Mungu aibariki nchi yetu? Unataka kinyume cha kubariki yaani laana?
Wimbo huo huimbwa mahali pengi na waliopo hapo hutulia kwa adabu na heshima kubwa huku wakiimba na kama mtu hawezi kuuimba huo wimbo wa Taifa, basi hutulia tuli. Vipi hapo kwa Mwamposa waliimba huku wakicheza sana- kuserebuka? Kama walikuwa wanacheza,wanapiga vigelegele n.k hilo sio sawa. Lakini kuimba HAWAJAKOSEA KABISA.
2. Sasa labda nikuulize kidogo; Hapo kwa Mwamposa ww ulienda kufanya nini leo Pasaka yote hii? Kuimba wimbo wa taifa ni kusali na ndo mana wimbo unaanza kwa kutamka: Mungu ibariki ........
3. Mkuu, Nakuomba siku nyingine ukijisikia, basi uende kule kwingine usiende kwa Mwamposa au Kanisani kwani kote huko wanauimba wimbo huo kama mojawapo ya sala.Tena kwa Wakatoliki ndo usijaribu kabisa kwani wao wanazo hata nota za wimbo huo na huimbwa kiufundi.
Ni hayo tu.
Wewe ndiye umeshindwa kuelewa majibu yangu. Wimbo wa faifa una namna yake ya kuimbwa na mahali pa kuimbwa. Huwezi kuimba wimbo wa taifa kama pambio kanisani. Hilo ni kosa kisheria. Mwamposa anapaswa kushitakiwa.Umeshindwa kujibu maswali yangu?
Kwa kosa gani? Kifungu gani cha sheria. Nyie madogo huwa mnasema tu x anapaswa kushtakiwa hujasema kosa na hujasema sheria iliyovunjwa. Msiwe na mihemkoWewe ndiye umeshindwa kuelewa majibu yangu. Wimbo wa faifa una namna yake ya kuimbwa na mahali pa kuimbwa. Huwezi kuimba wimbo wa taifa kama pambio kanisani. Hilo ni kosa kisheria. Mwamposa anapaswa kushitakiwa.
💩Wewe ndiye umeshindwa kuelewa majibu yangu. Wimbo wa faifa una namna yake ya kuimbwa na mahali pa kuimbwa. Huwezi kuimba wimbo wa taifa kama pambio kanisani. Hilo ni kosa kisheria. Mwamposa anapaswa kushitakiwa.
Since way back we jamaa niligundua una ujuaji wa ki.ku.ma aise. Kila kitu wewe ni mchambuzi. Nenda shambani ukazane na kilimo inawezekana maisha yamekupiga ndo maana una makasiriko na kila kituNaomba uwe mwelewa mkuu. Umeimbwa kanisani kama pambio sio kama wimbo wa taifa unavyoimbwa kiheshima. Umeelewa sasa?
Wewe hapo upo shambani? Umelima eka ngapi leo? Kama huna hoja na kama huwezi kuchambua uzi wangu, nenda ukojoe ukalale. Acha makasiriko kwa mtu usiyemjua.Since way back we jamaa niligundua una ujuaji wa ki.ku.ma aise. Kila kitu wewe ni mchambuzi. Nenda shambani ukazane na kilimo inawezekana maisha yamekupiga ndo maana una makasiriko na kila kitu
Wimbo wa Taifa kuimba na kikundi chochote mahali popote hata kiwe ni kikundi cha wachawi ruksa na sahihi. Hata mtu mmoja mmoja imba ni ruksa. Kwani wewe huoni ni kuutukuza? Bravo Mwamposa kwa kuupa heshima wimbo wetu wa Taifa.Nyie mnaona ni sahihi mtume wenu kudhalilisha nembo ya taifa? Imba wimbo wa taifa hadharani kama hujakamatwa na kutiwa ndani.
Yaani unashabikia mtume wako wa mchongo kutumia wimbo wa taifa kama pambio kanisani kwake? Huyo kibwetere wenu kawatoa akili sio bure.Wimbo wa Taifa kuimba na kikundi chochote mahali popote hata kiwe ni kikundi cha wachawi ruksa na sahihi. Hata mtu mmoja mmoja imba ni ruksa. Kwani wewe huoni ni kuutukuza? Bravo Mwamposa kwa kuupa heshima wimbo wetu wa Taifa.
Huo wimbo ni sala hata kijiweni kusanyikeni imbeni kwa kusimama ,heshima zote .Jambo lingine usidharau watu na kuwaita misukule ,hao unaowaita misukule kuna waliokuzidi kila kitu kuanzia shule ,pesa ,maisha ,ulichowazidi ni ujinga tu na ujuajiLeo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.
Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?
Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?
MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.
Nawasilisha.
We shehe wangu ni kilaza sana. Yaani IQ yako hata Bata zangu hapa nyumbani zimekuzidi. Very Low. PatheticHuwa mnaimba bila kujua.
Huwa mnaliombea Taifa, mnaombea na viongozi. Sasa imba wimbo wa Taifa unambie Kuna tofauti gani na hayo maombi.
Anaimba wimbo wa taifa then anakandamiza na sala nzito ya kuiombea nchi na viongozi wake! Hapo tatizo liko wapi?Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.
Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?
Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?
MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.
Nawasilisha.
Kwa hiyo unaunga mkono huyo tapeli wenu kutumia wimbl wa taifa kama pambio kanisani kwenu? Mmelaaniwa nyie!Anaimba wimbo wa taifa then anakandamiza na sala nzito ya kuiombea nchi na viongozi wake! Hapo tatizo liko wapi?
Kama wimbo umeimbwa na mtumishi wa Mungu tena madhabahuni kwa dhamira nyeupe kabisa we wakasirika, je ulitamani wimbo uimbwe bar ndio ufurahi?
Wacha kukipanilisha kwa mawazo yako ya hovyo.
Mwamposa sio level yako wewe.
Serikali haina muda wa kumsikiliza mtu mmoja asiye na ufahamu hata wa wimbo wa Taifa lake .Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.
Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?
Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?
MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.
Nawasilisha.
Wewe ni mjinga ,na mpumbavu sana ..asa wimbo akiimba Kuna shida Gani.. hakuna neno zaidi linalokufaaa zaidi ya kukuita mpumbavu usiyejitambua.Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.