Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

Wangeondoa neno "mungu" ungekuwa sio sahihi hata mi nazan kuufanya wimbo huu uwe wa kitaifa sio sahihi coz serikali na mungu wapi na wapi? Kama ni sahih bas kwann serikal haiamin uchaw wakati mungu na uchaw vyote ni vya kiroho mwaposa yuko sahh kwasababu pale ni kanisan na mungu ndio maharapake ila serikali haipo sahh au wadau mnasemaje
 
Wimbo wetu wa Taifa siyo TUNU ya Taifa. Hatuna hatimiliki yake. Wenye hati miliki nayo wenye wimbo wao Afrika ya Kusini. Hivyo, unaweza kuupiga hata Bar na kwenye Disco.

Wimbo wa taifa lolote unapigwa popote pale kwenye nchi husika. Bongo ujinga wa kubania Tunu za taifa sijui ulitokea wapi hadi watu wanashangaa kusikia wimbo wao wa taifa ndani ya taifa lao.
 
Nyie mnaona ni sahihi mtume wenu kudhalilisha nembo ya taifa? Imba wimbo wa taifa hadharani kama hujakamatwa na kutiwa ndani.
Pumbaffff

Kama mtume anaheshimisha na kutukuza bendera ya taifa then Mungu ambariki

You are very stupid
 
Wimbo wa taifa lolote unapigwa popote pale kwenye nchi husika. Bongo ujinga wa kubania Tunu za taifa sijui ulitokea wapi hadi watu wanashangaa kusikia wimbo wao wa taifa ndani ya taifa lao.
Yap! Yan ukiyafurahia mema ya nchi yako unaweza kuionesha furaha, shukrani na kuienzi nchi yako kwa kuimba wimbo wa Taifa. Nyie wa huko Dar hamjui wa huku Mikoani tulivyo. Kwa mfano jamaa anaweza akawa anajitokea zake huko kilabuni (kwa huko Dar eti mnaita Club) kuya chapa maji, yuko nzwii; utamsikia tangu mbali akijiimbia wimbo wa Taifa bila shida na huurudia rudia hadi aingie kwake. Vijijini raha sana. aisee.:3Dance:
 
Pumbaffff

Kama mtume anaheshimisha na kutukuza bendera ya taifa then Mungu ambariki

You are very stupid
Sawa. Kaimbe mahali popote kama hujaminywa hizo pu.mbu halafu uje hapa kulialia
 
Ni sahihi kabisa 100%

Uzarendo ni bora kuliko Udini.
 
Issue ni kutafuta Note sio kuzitunza,
Issue ni kua mzarendo sio kuabudu bendeka.
Na issue ni kuuimba uwajibikaji kwa taifa kwa vitendo na sio Wimbo kwa Maneno.

Kwanini watu mnahoji vitu vidogo vidogi wakati Nchi inauzwa kila kukicha na mmeshindwa kuuondoa uongozi mbovu madarakani zaid ya miaka 60 sasa?
 
Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.

Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.

Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?

Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?

MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.

Nawasilisha.​
Sisi Kanisani kwetu, kanisa katoliki, kila mwaka mpya saa sita kamili tunasimama na kuimba wimbo huu, kisha tunaendelea na ibada
 
Wimbo wa taifa, bendera, na nembo zingine zote za taifa inapaswa ziimbwe/kutumika mahali popote pale bila vikwazo. Ni ujinga kubania watu kutumia nembo zao za taifa ndo maana watu wanajaza bendera za USA na Israel kila Kona sababu wajinga wachache wanadhani nembo za taifa ni zao peke yako.
Mkuu hili jambo halikatazwi lakini lina taratibu zake zinazotakiwa kufuatwa na kila mtu
 
Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.

Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.

Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?

Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?

MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.

Nawasilisha.​
Mwamposa ni muhuni tu kama wahuni wengine
 
Mkuu hili jambo halikatazwi lakini lina taratibu zake zinazotakiwa kufuatwa na kila mtu

Taratibu gani? Mtu kuimba wimbo wa taifa anahitaji kibali?

Mnakataza watu kuimba wimbo wao na kutumia bendera zao ila hamuoni aibu kuona watu wakitukia bendera za nje ndani ya TZ?
 
Anza kuimba wimbo wa taifa utagundua hayo ni maombi ya taifa
 
Wewe ndio mjinga kweli. Mbona shuleni wanaimba, na hata makanisa mengi yanaimba. Hata wewe hakuna anayekuzuia kuimba hata ukiwa nyumbani kwako unaoga.
Naomba nijifunze bro, lengo la kuimba Wimbo wa Taifa Makanisani ni nini?

Kwa miaka yangu yote ya kuwepo Duniani na kutumika kwangu Kanisani kama mwandani(Inner Circle) sijawahi kuona tukiimba "Wimbo wa Taifa"
 
Taratibu gani? Mtu kuimba wimbo wa taifa anahitaji kibali?

Mnakataza watu kuimba wimbo wao na kutumia bendera zao ila hamuoni aibu kuona watu wakitukia bendera za nje ndani ya TZ?
Samahani bro, naomba nijifunze kitu kwa nia njema tu bro. Hivi lengo la kuweka bendera ya Israel au Marekani Makanisani ni nini?
 
Ujinga wao wakuaminishana kuna taifa teule na ujinga wa serikali kubania Tunu za taifa, people resort to bendera za nchi zingine.

USA wanaweka bendera ya nchi yao kila Kona from makanisani, majumbani, ofisi za serikali to michezoni. Wimbo wa taifa unapigwa kila Kona, ukikaa USA siku 5 tu utaujua wimbo wao wa taifa (The Star-Spangled Banner) ila bongo kwa misukule mtu anashangaa kwanini wimbo wa taifa unapigwa ndani ya mipaka ya nchi. Smh
 
Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.

Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.

Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?

Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?

MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.

Nawasilisha.​
Atafanyaje sasa kuwavutia waumini wapya🤔
 
Back
Top Bottom