Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata shule ya msingi huimba wimbo wa Taifa,Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimna wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.
Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?
Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?
MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.
Nawasilisha.
Wimbo wa taifa siyo msahafu wala biblia unaimbwa shuleni,uwanja wa mpila n.k. ilimradi hautumiki vibaya.Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimna wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.
Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?
Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?
MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.
Nawasilisha.
Sioni kosa lake yupo sahihi hata shule za chekechea wanaimbaLeo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimna wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.
Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?
Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?
MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.
Nawasilisha.
IndeedWimbo wetu wa Taifa siyo TUNU ya Taifa. Hatuna hatimiliki yake. Wenye hati miliki nayo wenye wimbo wao Afrika ya Kusini. Hivyo, unaweza kuupiga hata Bar na kwenye Disco.
Sina muda wa Kumjadili Tapeli wa Kiimani.Yupo sahihi. Wimbo wa Taifa ni sala. Kwani GENTAMYCINE anasemaje?
Tena mimi nikiwa naoga ndio huwa unanijia sana huu wimbo.Wewe ndio mjinga kweli. Mbona shuleni wanaimba, na hata makanisa mengi yanaimba. Hata wewe hakuna anayekuzuia kuimba hata ukiwa nyumbani kwako unaoga.
Kwa hiyo wewe huwa unamuangalia ukiwa kama nani!?Kanisani kuna utulivu mkuu? Cha ajabu wakati wimbo unaimbwa kuna misukule ilikuwa inapiga mayowe. Sasa hapo utulivu upo wapi?
Sijamuangalia bali nimemsikiliza kwenye redio mkuu. Halafu hoja iliyopo mezani hapa inahusu matumizi yasiyo sahihi ya wimbo wa taifa. Tafadhali turejee kwenye hoja. Wewe unadhani Mwamposa anayo haki ya kidhalilisha wimbo wa taifa?Kwa hiyo wewe huwa unamuangalia ukiwa kama nani!?
Wewe ulikuwa unamsikiliza ukiwa kama nan!?Sijamuangalia bali nimemsikiliza kwenye redio mkuu. Halafu hoja iliyopo mezani hapa inahusu matumizi yasiyo sahihi ya wimbo wa taifa. Tafadhali turejee kwenye hoja. Wewe unadhani Mwamposa anayo haki ya kidhalilisha wimbo wa taifa?
Tatizo wimbo wa taifa ni nembo ya taifa. Haupaswi kuimbwa kama singeli au bongofleva na una unaimbwa kwenye matukio mbalimbali sio kila mahali na kila wakati. Umeelewa mkuu?Mimi mbona Nina proudy wa kuuimba hata nikiwa bafuni tatizo ni nini?
Mambo mengi ninakuunga mkono, ila hili naona umechemsha. Kuikmba wimbo wa Taifa ni part of Patriotism, itakuwaje ni kufuru? Labda zile sheria za Nyerere? Wakati ule hata ukishika bendera ya Taifa unawekwa ndaniWa hiyo wimbo huu unaweza kuimbwa mahali popote pale mkuu?
Tujadili kwanza uelewa wako wimbo wa Taifa ni niniWanaimba katika hali gani mkuu? Yeye kaimba kama vile anaimba singeli. Je, hii ni sawa?
kanisani pangu kila Mwaka mpya na mara chache may Mosi lazima tuugonge wimbo wa Taifa 🐒Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimna wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye michuano ya kima
taifa.
Sasa Mwamposa yeye ni nani hadi adhalilishe wimbo wa taifa mbele ya waumini wake? Je, yeye ni Rais au anataka kumpindua Rais aichukue hii nchi?
Mficha ugonjwa kifo humuumbua. Kama tukiendelea kuacha nembo za taifa kuchezewa, ipo siku Mwamposa na misukule yake watachambia benders ya taifa. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwadhibiti wahuni wanaochezea nembo za taifa. Kama BoT imechukua batua kulinda udhalilishaji wa noti, serikali ya mama Samia inashindwa nini kiwadhibiti wahuni hawa wanaodharaulisha wimbo wa taifa?
MAONI YANGU
Rais anawakilisha nchi na timu ya taifa inawakilisha nchi. Mwamposa anawakilisha tumbo lake. Serikali inapaswa kumchukulia hatua huyu bwana kwa dharau aliyoionyesha kusigina wimbo wa taifa mbele ya misukule yake. Hakuna haja ya kuogopa kumuadhibu Mwamposa kwa kisingizio cha kuwakasirisha wapiga kura. Nafahamu kwamba misukule wa Mwamposa ndiyo wapiga kura wakubwa wa CCM Lakini lazima serikali ichukue hatua kukomesha uhuni huu. Ukimchekea mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini.
Nawasilisha.
Duh! Mkuu, mbona makasiriko kihivyo? Inaonekana una lako jambo. Au ulitoa sadaka ya kujimaliza halafu haikurudi kama ulivyotarajia? Pole.Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimna wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.