Lakini mleta mada amesema tu mwanaume kulala uchi hajasema aliyeoa au laaMzee mkeo/demu wako flatscreen nini?? Kama umeoa zigo utaelewa maana ya kulala uchi!!
Maana utajikuta saa mbili tu unamshawishi mkeo mkalale na hapo si ishu ya kubanjuka ila ile kukumbatia lile dubwana tuu.
Mungu atukuzwe na kupewa sifa zote!!
Ajiri mlinzi au fuga mbwa kama unaogopa majambazi...ila kulala uchi kuna raha yake.
Nikiwa ugenini ndo nalala na nguo ikibidi
Mshana usinikwaze, heshima yako kubwa. Waachie wahuni wachangie hii post. Ona sasa mambo ya kifudifudi siyo hadhi yako. Waachie wahuni wachangieTahadhari kuu! Ukilala uchi kama mwanaume chondechonde usilale kifudifudi....
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mshana usinikwaze, heshima yako kubwa. Waachie wahuni wachangie hii post. Ona sasa mambo ya kifudifudi siyo hadhi yako. Waachie wahuni wachangie
Tafadhali tufafanulie athari zake mkuu...Tahadhari kuu! Ukilala uchi kama mwanaume chondechonde usilale kifudifudi....
Sio vizuri kwa mwanaume kulala mlalo huo tena uchi unaweza kuingiliwa kingono na mapepo wachafuTafadhali tufafanulie athari zake mkuu...