Je, ni sahihi mwanaume kulala bila nguo kabisa?

Kwa sisi tuliowahi kusoma shule za boarding za Boys tupu enzi hizo, ilikuwa ni lazima kulala na bukta. Na matokeo yake mpaka leo wengine hatuwezi kulala bila bukta.
 
Kwa sisi tuliowahi kusoma shule za boarding za Boys tupu enzi hizo, ilikuwa ni lazima kulala na bukta. Na matokeo yake mpaka leo wengine hatuwezi kulala bila bukta.
Hahahaha hizi shule hazifai kabisa wengi zilitufundisha kupiga puli na kuwa mchafu mchafu. Binafsi hizi shule hazifai kabisa kumpeleka mtoto.
 
Tanzania unalala tu uchi tena kuna wengine hadi wanakoroma na hakuna shida, na wengine mdomo wazi hadi asubuhi na anaamka salama kabisa. Nakumbuka Sudani haitakiwi kukoroma,kulala uchi au kulala mdomo wazi maana lolote na wakati wowote chochote kinaweza kukatiza maisha kwa kulala kizembe.
 
Wasaalam!.

Wakuu hivi mnawezaje kulala bila nguo yoyote( mtupu ) usiku mzima? Mimi hata nikilala na mwanamke nikimaliza tu lazma nitafte ka boxer nivae!.

Bila kuwa na mwanamke hapo lazima niwe na pensi ya Chelsea Sina mchezo kabisa.

Uzi tayari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan mi nilale bila nguo weee tena upate kukoma pepo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…