Je, ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake?

Je, ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake?

Akiwashirikisha ni kaamua tu kwa utashi wake na heshima anayowapa, kuwajenga kuwa "family men"!

Akiamua kuuza bila kuwashirikisha pia ni sawa kwa sababu mali ni zake na mkewe, nyie hamuhusiki kwa lolote na mali za baba yenu.
 
Logically ni sahihi na itategemea mazingira pia.

Mimi sikupewa nyumba ya urithi na mzazi wangu isipokuwa niliishi kwake na kuondoka baada ya kuona umefika muda wa kujitegemea.

Nao ikifika muda wa kujitegemea wataondoka nyumbani kwangu na kuanzisha makazi yao.

Kama hakuna mtoto ambaye anaishi kwangu kwa maana ya kutoanza maisha ya kujitegemea nauza hata bila kuwajulisha.
 
Kama watoto / mkeo wana leta jau kwenye mali zako ulizo zisotea, jambo muhimu la kufanya ni kuweka hiyo nyumba rehani kwa mkopo wa bank alafu ujenge nyingine za biashara kisiri siri pasi na wao kujua ili siku ukifa na nyumba ichukuliwe na bank na kama wataitaka basi wavuje jasho kuikomboa maana wakati na jenga wao walikua bado wanajinyea
 
Kama watoto wanaleta jau kwenye mali za wazazu jambo muhimu la kufanya ni kuweka hiyo nyumba rehani kwa mkopo wa bank alafu ujenge nyingine za biashara kisiri siri pasi na wao kujua ili siku ukifa na nyumba ichukuliwe na bank na kama wataitaka basi wavuje jasho kuikomboa maana wakati na jenga wao walikua bado wanajinyea
Kuna mzee arusha alinusulika kifo baada ya mwanae kumfungia ndani ya chumba bila kumpa chakula kwa nia ya kumuua ili arithi nyumba

Yule mzee sijui alitokaje Ila habari ili trend aliamua kuibomoa hiyo nyumba
 
Kuna mzee arusha alinusulika kifo baada ya mwanae kumfungia ndani ya chumba bila kumpa chakula kwa nia ya kumuua ili arithi nyumba

Yule mzee sijui alitokaje Ila habari ili trend aliamua kuibomoa hiyo nyumba
Na hisi ni yule mzee wa matejoo au ngarenaro...sometime watoto ni jau sana kwenye mali wanawaza ufe wachukue mali na washajigaia kabisa badala wasake zao
 
Back
Top Bottom