chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,839
- 3,645
Kama alijenga na kuzitafuta mali kwa jasho lake ni sahihi kabisa.Je ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake??
Jenga ya kwako ili usubiri ushauri wa watoto au ndugu zako.