ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Upo sahihi lakini sidhani kama mzazi ni fala kiasi hicho mpka kushindwa kushirikisha bao lake jambo kama hiloSi sahihi kabisa,Kama alizaa akijua watoto wake hawapaswi kushiriki mambo yake basi asingewazaa kabisa maana sidhani kama watoto wakiwa viunoni wangependa kuzaliwa na mzazi wa aina hiyo.
Ni cha kwako Sawa lakini kumshirikisha mtoto unapouza ni muhimu sana Ila si haki ya mtoto kukukataza kuuza maana hata hakuwahi kuwa na haki ya kukukataza kumzaa….
Ukiona hivyo kuna walakini japo pia unaweza usiwepo
Issue ya kuzaliwa naona ni tofauti kama huduma zingine zote za msingi wanapewa hakuna tatizo
swala la nyumba hakuna ulazima mtoto ashirikishwe kama amezaliwa akatunzwa na kuelekezwa namna ya kujenga nyumba yake inatosha