Je, ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake?

Je, ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake?

Inategemea na maamuzi yake nyumba ni yake

Ila sometimes Sio sawa ni vema kuwashirikisha huenda km ni changamoto wangemsaidia kutatua ukute huenda mzee kapata gen Z kaona akale bata mbele huko😂😂😂

Mfano mambo yakawa magumu au mipangoyake haijaenda anavyotarajia itakuwaje na umri umeshaenda
 
Back
Top Bottom