Kama alijenga na kuzitafuta mali kwa jasho lake ni sahihi kabisa.Je ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake??
JINGA KABISA HILO. Yaani me napambana niwe na maisha mazuri kabla mama hajaaga dunia, ili ale matunda ya mwanae.Kuna mzee arusha alinusulika kifo baada ya mwanae kumfungia ndani ya chumba bila kumpa chakula kwa nia ya kumuua ili arithi nyumba
Yule mzee sijui alitokaje Ila habari ili trend aliamua kuibomoa hiyo nyumba
Ni sahihi kabisa.Je ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake??
Na sijui sheria inazungumziaje juu ya hilimali ya mzazi mtoto kaambali
mwache auze jasho lake wakati anatafuta hukuwepo wala kusaidia chochote
Ametegeshea urithi huyoIla watoto wa siku hizi bana. Hapo ni maamuzi ya huyo Mzee kuamua kuwaambia ama la.
All in all cha mzee sio chako.
Hapa hatoboi 😂😂hadi sasa
wachangiaji 4 vs mleta uzi 0
😀
Inategemea. Nyumba ni mali ya nani? I mean mzazi kajenga mwenyewe? Mzazi mwenzake ameshirikishwa kama walijenga wote na sheria inawatambuwa kama wanandoa? Kama nyumba ni ya mzazi, kisheria hakuna kosa kuuza bile kuarifu watoto. la kwa taratibu za kijamii, ni jambo lisilo la kawaida hasa kama watoto wake ni watu wanaojiheshimu na kuwajibika kama inavyotakiwa.Je ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake??
😂😂😂Tupo upande wa mzaz tu
Je ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake??
Kupeana taarifa muhimuJe ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake??
Ndiyo ubinadamu pia….mzazi kwa mtotoKupeana taarifa muhimu
Ni sahihi kabisa,kwa sababu 99% ya watoto wazazi wakifa,mnauza na kugawana bila kutushilikisha wana JF.
labda wajuvi wa sheria waje watusaidieNa sijui sheria inazungumziaje juu ya hili