Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

Mimi naona huyu kijana Kelvin apunguze jazba aache mihemuko pindi wakutwanishapo na nduguze upande WA baba yake tena hao wajomba hawahusiki na chochote ktk Mali hizo hivyo asichanganye mambo pia maswala ya kesi asiyahusishe na chuki Kwa nduguze kwani Mahakama itaamua awe mpole mama anatuhumiwa tu kwani nao ni binadamu kupoteza ndugu wawili sio kidogo tena wote kuuawa kikatili akubari meza ya mazungumzo na kelvin aepuke kurudia hoja zake mara kwa mara za chuki dhidi za nduguze ,piakuu wa wilaya aanze kumtoa katika mazungumzo ya ugawaji wa mali mjomba Kwani hazimuhusu kabisa aendelee na shughuli zake asante
 
Hapo solution ni kuteua msimamizi wa mirathi ambae hafungamani na upande wowote, iwe kampuni au taasisi au mtu binafsi atakaekubalika na pande zote 2 kwa muda wakati mambo yakiwekwa sawa. mwenye shida hapo ni huyo mtoto wa marehemu inaonekana anapata maneno ya chuk kutoka kwa mama yake alieko gerezani. huyo mjomba hastahili kusimamia mirathi.
 
Wanaume kumbukeni kuandika wosia wa miradhi hata kama bado vijana.


Wote wana haki ya kupata miradhi hiyo kwa sheria yoyote itakayo tumika kama hakuna wosia.


Baba na mama

Wadogo zake

Watoto wake

Mke wake

Nje ya hawa hakuna anayestahili mgao hata kwa sheria za dini
Mali zilizopatikana ndani ya ndoa.
1. Mume akifariki - Mke mrithi.
2. Mke akifariki - Mume mrithi.
3. Mume na Mke wakifariki - Watoto wa ndani ya ndoa warithi.
 
Hakuna Mirathi iliyowahi kusimamiwa na mjomba duniani. Anachotakiwa kufanya mwanayanga ni hichi: Wazazi wa Msuya wapewe kitega uchumi fulani na asilimia fulani ya cash (kama ipo) Mke wa Msuya apewe kitega uchumi fulani na asilimia fulani ya cash (kama ipo) Mali hiyo (ya mke) isimamiwe nae huyo mjomba. Na kisha, vitega uchumi vikubwa na asilimia kubwa ya cash (kama ipo) igawanywe kwa watoto kwa utaratibu wa kimirathi. Watoto walio wadogo waulizwe, ni nani kati ya wanafamilia anamwamini anaweza kusimamia mali zake? Kama kitega uchumi ni SG Resort tu, basi ipigwe mnada na cash igawanywe kwa wahusika hapo juu. Hao mashagazi na wajomba watakula kupitia vivuli vya watoto na mke na Wazazi. Note that, kugawana mali ya urithi means kuugawa ukoo na family, lakini ukoo tayari na familia imeshaparanganyika. There is nothing to lose! Na ni heri mali itafunwe na wanafamilia kuliko outsiders.
 
Nimewahi shuhudia mjomba anauza mali za wajomba zake na walikuja shtuka ni vingi vimeuzwa.

Kelvin huenda anapotoshwa na mjomba ili mjomba akamue mali za babake.
Huyu dogo alienda kusomea ujinga Australia

Hivi ww ndio mwenye mali badala ya kukaa kwenye utawala ujue hotel inaendeshwaje
Dogo ndio anatumwa kwenda kununua nyanya na vitunguu sokoni
Kama sio upopo ni nini alafu bado amsikiliza mjomba wakati kashamfanya messenger
 
MSIKILIZE DC AKIHITIMISHA KIKAOOO

NAOMBA NIWAWEKE WAZII TUNAKUJA TENA HAPA KIKAOO KIJACHO MNALWENDA KUTOA SHAURI MAHAKAMANI AMJI KUBADILI CHOCHOTE

MKE WA MAREHEMU ATABAki KUWA MSIMAMIZI WA MALI

NNA.WATOTO WA MAREHEMU WAtABAKI KUWA WAMILIKI WA MALI WAKISIMAMIWA NA MAMAYAOO

SAMAHANI KAMA UKO UKOO ULE HAPO NDIPOO WALIPOPIGWAA MSHANGAOO

NAWASHAURI MUOMBEE SANA MKISIKIA FAMILIA ZINAPINGANA KWENYE MIRATHI..MSIFURAHIE WEKA NeNO USIKU HUU MUnGU aWAPE AMANI UKOO ZILE WAELEWANE MAOMBI YA WENGI MUNGU ANATENDA WAPENDWA
Hapa Sasa Dc alichemka, kwa hiyo familia ulichofanya wasimamizi wa mirathi wawe wawili kutoka pande zote na huyo mama aondolewe kwenye usimamizi, laiti kesi yake ingekuwa imeisha huyo mtoto angetuliza akili.Maana watahangauka kutafuta hela za kumpa mwanasheria ahonge kwa ajili ya kesi kumbe vitu vipo wazi hiyo kesi imemkalia papaya!
 
natamani mngejua WOTE humu kasoro mm n MAREHEMU watarajiwa...na WATOTO wananda kukumbana nayo kama awajafa KABLA yenu
 
Nalog off, ngoja na mimi nikatafute kitu cha kuwagombanisha ndugu zangu mara nitapofariki maana kwa sasa sidhani kama watashawishika kugombea gunia la mbaazi
 
hao ni watoto wakubwa sasa.
Wapewe Mali za baba yao waziendeshe.
 
wosia ni kitu muhimu sana ila watu wengi huwa wanapuuzia.
Hakuna umuhimu wowote kama watu wanaweza kwenda mahakamani kuupinga kisa hawajaridhika na mgawanyo na ukabatilishwa.

Pamoja na kuacha wosia familia ya Mengi watapitia hikihiki cha Billionaire Msuya.
 
Msipoteze muda kwanza Takukuru wangeanza na huyo mjomba kwanza aeleze kama ana mali na amezipata pata vipi huyo dogo nae anaonekana ndezi kilichomfanya aache masomo nini kusimamia mali mbona kashinda sasa hovyo kabisa
Huyu mjomba kwa ninavyoona mimi ni tatizo namba 1
 
Back
Top Bottom