Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nikisoma hii habari ya marehemu Msuya na namna mke wa marehemu alivyoshiriki kumuua wifi yake ndipo nazidi kuwa mbali na watu wa kskz hususani wanawanakeHiyo familia acha wamalizane.
Mali zilizopatikana ndani ya ndoa.Wanaume kumbukeni kuandika wosia wa miradhi hata kama bado vijana.
Wote wana haki ya kupata miradhi hiyo kwa sheria yoyote itakayo tumika kama hakuna wosia.
Baba na mama
Wadogo zake
Watoto wake
Mke wake
Nje ya hawa hakuna anayestahili mgao hata kwa sheria za dini
Huyu dogo alienda kusomea ujinga AustraliaNimewahi shuhudia mjomba anauza mali za wajomba zake na walikuja shtuka ni vingi vimeuzwa.
Kelvin huenda anapotoshwa na mjomba ili mjomba akamue mali za babake.
Hapa Sasa Dc alichemka, kwa hiyo familia ulichofanya wasimamizi wa mirathi wawe wawili kutoka pande zote na huyo mama aondolewe kwenye usimamizi, laiti kesi yake ingekuwa imeisha huyo mtoto angetuliza akili.Maana watahangauka kutafuta hela za kumpa mwanasheria ahonge kwa ajili ya kesi kumbe vitu vipo wazi hiyo kesi imemkalia papaya!MSIKILIZE DC AKIHITIMISHA KIKAOOO
NAOMBA NIWAWEKE WAZII TUNAKUJA TENA HAPA KIKAOO KIJACHO MNALWENDA KUTOA SHAURI MAHAKAMANI AMJI KUBADILI CHOCHOTE
MKE WA MAREHEMU ATABAki KUWA MSIMAMIZI WA MALI
NNA.WATOTO WA MAREHEMU WAtABAKI KUWA WAMILIKI WA MALI WAKISIMAMIWA NA MAMAYAOO
SAMAHANI KAMA UKO UKOO ULE HAPO NDIPOO WALIPOPIGWAA MSHANGAOO
NAWASHAURI MUOMBEE SANA MKISIKIA FAMILIA ZINAPINGANA KWENYE MIRATHI..MSIFURAHIE WEKA NeNO USIKU HUU MUnGU aWAPE AMANI UKOO ZILE WAELEWANE MAOMBI YA WENGI MUNGU ANATENDA WAPENDWA
We nawe? Kwani umeambiwa Erasto hakuacha wosia?!wosia ni kitu muhimu sana ila watu wengi huwa wanapuuzia.
Hakuna umuhimu wowote kama watu wanaweza kwenda mahakamani kuupinga kisa hawajaridhika na mgawanyo na ukabatilishwa.wosia ni kitu muhimu sana ila watu wengi huwa wanapuuzia.
Huyu mjomba kwa ninavyoona mimi ni tatizo namba 1
Miaka 23 anatema pumba kiasi hicho?