Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Grs200 na 5 series ipi hapo ? Kuhusu balance vipi .. nazielewa sana grs 200 ila kuziweka kwenye mchakato na BMW 5 series kuitesa.. maana Kwa balance grs200 inaktwa na Lexus GS 450
Hahahaha ya kwangu mimi nina mpango wa kuiondoka speed limit Lexus GS 450 ina engine ya 2GR ni more powerful than 4GR huyu atakua na 5 Series zile zile za kawaida i.e 525i au 523i ni nadra sana kukuta mnunuzi wa 5 series anaenda zaidi ya hizo..kwaio GRS200 na 525i inakua imebalance mule mule...😀😀😀
 
Kwa 170km/h uliiacha range rover either kwa sababu dereva alikuwa muoga au hakutaka ligi na wewe.
Wazee wa ku krem..kwani range zinakimbia sana? Zipo za 190hp ..hizi speed yake sio zaidi ya 190kph..

Tena ipo moja mtandaoni kali sana plate DSH inauzwa 35M ...hio gari mtu labda aone body aogope ila hio unaifata na rumion
 
Alafu kwa hizi barabara zetu Hadi kufikia hizo speed ni sehemu chache Sana, sometimes huwa tunajaribu Tu kuona gari ina uwezo gani
Inategemea na uwezo wa gari, gari kama inachelewa changanya basi hizo speed utakuwa unasikia tu kwa watu, crown hizo 180 ni kugusa tu, na magari mengi sasa ukianza jarbu futa sahani kwenye rumion ndo shida inaanza
 
Hahahaha ya kwangu mimi nina mpango wa kuiondoka speed limit Lexus GS 450 ina engine ya 2GR ni more powerful than 4GR huyu atakua na 5 Series zile zile za kawaida i.e 525i au 523i ni nadra sana kukuta mnunuzi wa 5 series anaenda zaidi ya hizo..kwaio GRS200 na 525i inakua imebalance mule mule...😀😀😀
ni kweli Series 5 nyingi Humu ni 525i.. hapo utawatesa. GRS200 zinanikosha sana pamoja na GRS204. Na ukiondoa kamba utasumbua Sanaa road huko 😄😄😄
 
Napambana nipate pesa, nichukue gari kwenye dash isome 300kmh na kuendelea.. na 🐎 power ikianzia 355HP na Torque ikiwa 500Nm itapendeza sana.. sema milija ya hela imejaaa kutu 🤦🤦🤦
Amin. Inshallah mkuu.
 
Amini nakwambia kama wewe ni mtu wa barabarani ligi zinajulikana tuu..jamaa kila akikaribia mnyama nakanyaga mpaka kwenye 6 au 7 rpm anayeya yuleeee....
Sasa mkuu umesema mwenyewe umeishia 170kph huoni kuwa mwenye hio RR hakutaka kuvuka 180kph? Au unaamini RR mwisho ni 170kph. Halafu umeambiwa ya Diesel probably ni 2.7TDi hazina nguvu kivile.
 
Sasa mkuu umesema mwenyewe umeishia 170kph huoni kuwa mwenye hio RR hakutaka kuvuka 180kph? Au unaamini RR mwisho ni 170kph. Halafu umeambiwa ya Diesel probably ni 2.7TDi hazina nguvu kivile.
Huenda amekutana na RR iliopoa. Akutanane na zile supercharge angeluja simulia Tena Humu
 
Sasa mkuu umesema mwenyewe umeishia 170kph huoni kuwa mwenye hio RR hakutaka kuvuka 180kph? Au unaamini RR mwisho ni 170kph. Halafu umeambiwa ya Diesel probably ni 2.7TDi hazina nguvu kivile.
Ile ilikua ya 3.0L ila uliisikia muungurumo wake ni wa 5.0L hio 170kph ni alikua mbele mimi ndo nikampita na spidi hio na kuzidi kutokomea kusiko julikana
 
Back
Top Bottom