Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Hahahaha ya kwangu mimi nina mpango wa kuiondoka speed limit Lexus GS 450 ina engine ya 2GR ni more powerful than 4GR huyu atakua na 5 Series zile zile za kawaida i.e 525i au 523i ni nadra sana kukuta mnunuzi wa 5 series anaenda zaidi ya hizo..kwaio GRS200 na 525i inakua imebalance mule mule...😀😀😀Grs200 na 5 series ipi hapo ? Kuhusu balance vipi .. nazielewa sana grs 200 ila kuziweka kwenye mchakato na BMW 5 series kuitesa.. maana Kwa balance grs200 inaktwa na Lexus GS 450