Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Bmw x5 ya 2019 ina turbo kwanza ni ya mshikaji wangu, nilifika 190 utadhani gari haikanyagi chini na barabara ikawa nyembamba nikatuliza bangi zangu nisije tolewa figo maiti yangu kufidia gari ya watu,
kwa pikippiki ni ile honda x blade 160 speed nilifika 100 tu pikipiki zinatisha sana speed kubwa.

Sema speed kubwa tamu sana ila hatuna sehemu nzuri sana za kutembea nazo tukazifurahia ila ni hatari mno roho mkononi muda wote.
 
Kwa 170km/h uliiacha range rover either kwa sababu dereva alikuwa muoga au hakutaka ligi na wewe.
Wengne waoga, mie kuna siku nilikuwa nashuka mlima Sekenke ile kona ya mwsho kuna down kali nikakashindilia ka-IST hadi 170 nikai-overtake V8, [emoji23][emoji23] nikasema hapa ili anipite inabidi atembee 180 na kuendeleaa.
 
Series za 1jz-GTE na 2jz-GTE zinapatikana sana kwenye Aristo. Aristo ni waya wa umeme.
 
Mkuu uzoefu nao una mata, bongo hii sijawqhi kuzidi 150kph. So 220 kph was too much na siku-last kwa muda mrefu just for few minutes nikarudi zangu 130kph
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]
Huko mie naweza nikafa kwa kweli maana nitalazimisha nimalize 260 ya mjerumani.
 
Kuna aristo moja huko Arusha aisee iliikalisha 2GR GRS204 ilikua balaaa aiseee...fully moded twin turbo...[emoji23][emoji23][emoji23]
Zinasepa sio poa ila pia kwenye wese lazima ujipange maana unaweza ukapata kilometer 6 kwa lita 1.
 
Kweli mkuu, pikipiki ni hatar zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…