Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Hii gari uwe nayo makini sana, maaana unakwenda speed kubwa halafu hata huoni speed kubwa.

180 KPH. BMW X5. I-95.
 
Hii gari uwe nayo makini sana, maaana unakwenda speed kubwa halafu hata huoni speed kubwa.

180 KPH. BMW X5. I-95.
yeah nikweli aisee zimetengenezwa inakujengea kujiamini sana na unajiona uko salama zaidi,
mimi kujaribu nashusha kioo kidogo ili niwe napata na hisia za upepo,
sema chuma la watu mi nilikuwa nagusa tu ila naogopa sana mwendo kasi
 
Caldina bila body kits iko smart sana mbona. Iwe na rims kali tu its a masterpiece. Nilikuwa na option ya kuchukua hio au Opa sema nilipozikagua zote niliangukia kwenye Opa sababu ilikuwa in clean condition zaidi ya Caldina.
Duh ndio Mambo ya kipendacho roho hayo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…