Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

hongera mkuu kwa kutuanesha kuwa unagar japo ni mkangafu
 
Ivi wakuu kati ya gx-100 exceed yenye 2jz-GE na superlucent yenye 1jz-GE ipi ipo na uwezo,bei kwa ujumla nikicheki superlucent ina bhp200 rpm6000 exceed ina 220bhp rpm 5600.
 
140MPH Motorway BMW 5
220KPH Mombo-Same
Hizi 180kph siku nikiamua kutoa carbon napiga humu humu Dar

NB: Speed kills
Mkuu pale mombo baada ya kuzimaliza zile kona na kuanza kuitafuta hedaru nimewahi kugusa 180kph na ki IST.

Ila ule mwendo kwa kile kigari ni kama kilikuwa kinaelea. Sijawahi kurudia tena. Ile barabara imenyooka vizuri sana.
 
Ongea na watu vizuri zipo.... ila uwe na mkwanja mrefu

Mark II - 1JZ
 
Gari 160km/h.....
 
Mwenye range alikukuashia huenda πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Speed kubwa kabisa ni 250kmh.. 180kmh ya kawaida kabisa kwangu [emoji38][emoji38][emoji38] hizi nazikata sana Barbara ya tabora nzega, au tabora manyoni.. au dodoma to singida Kuna vipande mafuta hii
Harafu watu hawajaijua hii njia ya Manyoni to nzega via Tabora ni karibu kuliko kupitia singida na haina matuta na tochi za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…