Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Upo kama baba chanja wangu anapenda sana kuweka ligi barabarani basi na mie hua nampampu "aah sio kweli huyu anatupitaje kwa mfano" anachochea moto,

Kuna siku ujinga wa Bara tukaupeleka Zenji barabara kule bado sana halafu traffic wapo macho balaa, tukapigwa fine tukatulia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnapampiana, mie manzi angu ni muoga sana asee.... yani nikitaka kuanza kufukuzana utasikia mie nishushe tu ndio ufanye ujinga wako.
 
mkuu umenikumbusha mbali sana.
2017 Landrover impala Petroli. nilifika 140. kutoka Marangu mtoni mpaka Himo. hiyo 140 niliipata hapo Marangu sec. ukiwa dereva kuna vitu unafanya halafu unaona haina maana. stage hiyo ukivuka wewe ni dereva mzuri. ila kama unapenda tu kuendelea wewe sio dereva mzuri.
 
Ligi kufanya na mjerumani ni kujichosha Tu mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…