Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Bado. Nataka nizidi hapo nikipata safari. Gari ina 240.Umesharudia tena mkuu?
Zamani ilikua max 120..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado. Nataka nizidi hapo nikipata safari. Gari ina 240.Umesharudia tena mkuu?
Aah me sio muoga mtu ninayemuamini akiniendesha ila nikiendesha mimi ndio nakua muoga, speed mwisho 80, narudi kwenye 60,[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnapampiana, mie manzi angu ni muoga sana asee.... yani nikitaka kuanza kufukuzana utasikia mie nishushe tu ndio ufanye ujinga wako.
Daah safi sanaaaaa,Mwaka juzi jamaa yangu alikuwa anapeleka gari yake kwa mteja Moshi BMW 3 series.
Tukaongozana kutoka Arusha kuelekea Moshi ikawa mashindano barabarani BMW 5 Series vs BMW 3 series.
Aisee walioumia barabarani ni wajapan.
Jamaa yangu alikuwa mwoga wa spidi nikiwa nyuma yake namwangalia jinsi Mark X inavyomtoa jasho kuipita.
Nampigia simu namuuliza ni biashara gani unafanya hapo mbele, anajibu namlia timing.
Nikamwambia usimpite tena, angalia mashine inavyopita, niliwakata kwa spidi ya 200kph.
Kitu nachojilaumu ni kutokua na dash cam + rear view cam aisee ile ligi ilikua tamu sana range rover haina mbio kabisaMwenye range alikukuashia huenda 😆😆😆
Kuna bwana mdogo mmoja sijui anajiita nani huko arusha aisee hio aristo iliikalisha 2gr grs204...ile ni moto wa kuotea mbali...Hio Aristo bila shaka ya Jason Frisby 😂😂😂 ana 1JZ-GTE Chaser Modelista nayo ni hatari, ana Mark X ya 2011 ya 3500cc 2GR ni msala
315Hp
Heshima zakospeed 205 kph with bmw r1200 gs
speed 190 with African twin ambapo ndio top speed
barabara ni arusha singida na dar to njombe
Umeua mzee.speed 80-100 kwenye kona shaaaaaa na ka ist changu😀
YahAmalize tu au sio [emoji16]
Ndio ujirani mwema mkuu😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kuna watu wanapiga gear sio poa mkuu, mie mwenyewe watu wa home huwa wananiogopaga sana nikishika sterling, sasa huwa wengne wananiiga. Mwshowe kuna ndugu zangu niliwapa Gx100 wakaenda kuimwaga kwa kuiga navyojitupaga.View attachment 2291804View attachment 2291806View attachment 2291805View attachment 2291807
Itakuwa kipande cha Saohil pale hakuna tuta sana afu kuna sehem barabara imenyoka kinoma na ile sehemu baada ya Nyololo kwa mbele ndio waweza tembea hivoLC 200 GXR
Niligonga 200KPH lakini kuna muda niligusa hadi 240KPH ambayo ndiyo mwisho wa kisahani
Ilikuwa Mafinga to Makambako tulikuwa tunatoka Dar kuenda Mbeya na tulikuwa tunapokezana kuendesha
Hiyo 120 ndio huwa naona ndio kama 50Mimi mwisho ilikuwa 150kph. Na kiukweli natamani nisirudie tena. Walau niwe naishia 100-120kph hivi!
Maana mwendokasi ni moja ya chanzo cha ajali.
120 kph kwa gari isiyo na mawenge ya kuyumba, ni mwendo wa kawaida sana. Kuanzia 140kph na kuendelea, gari inakuwa nyepesi sana. Na hata umakini kwa dereva huongezeka.Hiyo 120 ndio huwa naona ndio kama 50
Kweli hilo lilikua kosa la kiufundi mkuu.Mie najuta sana kuiuza, yani katika mistake ni hio nilifanya. Roho inaniuma sana kila nikipita checkpoint naiona jamaa kaipaki chini ya mti.
Eeeeh hiyo huwa naendesha nikiwa na jamaa zangu tu , mama hakawi kusema utembee 60, sema gari nilokuwa nayo ni carina ukitembea juu sana ya 120 inakuwa nyepesi , huwa natembea hivo mkeka wa Iyovi via Iringa to Igawa road pana sana120 kph kwa gari isiyo na mawenge ya kuyumba, ni mwendo wa kawaida sana. Kuanzia 140kph na kuendelea, gari inakuwa nyepesi sana. Na hata umakini kwa dereva huongezeka.
sema wana wanavimba na ndinga zao kubwa, hapa naonekana nyokaa tuUmeua mzee.